Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,090
Hiyo ni unlock kwa zile simu zeny network lock, yan simu ambayo imezuiliwa kutumia mtandao mmoja, kmaa zile zinauzwa na tigo,Samahani ukisha unlock cm inakuwa na uwezo zaid au na features zipi?
Ntaleta mrejesho.Habari Zenu wana Jf,
Nimekua nikipokea request nyingi sana Pm watu wakiniomba niwaelekeze jinsi ya ku unlock simu ya TECNO Y3+.
Zaidi ya 20 nilishawaelekeza na wamefanikiwa 1000% , haihitaji Pc.
Tuache maneno. Twende na muziki sasa.
Mahitaji:
1,TECNO Y3+
2,INTERNET BUNDLE (Just 2mb)
Fanya yafutayo.
1, kweny hiyo simu ingia PLAYSTORE,alaf download MTK ENGINEERING MODE au MTK ENGINEERING MODE SHORTCUT.
2,Ikishamaliza kuinstall ifungue hiyo Mtk engineering,
3,itakuja menu yenye Tabs. Angalia neno TELEPHONY
4,Shusha kuelekea chini ya Telephony mpaka upate neno SIMME LOCK au SIM LOCK alaf chagua hapo
5,ukimaliza step 4 utaona neno NETWORK PERSONALIZATION, fungua hapo alaf utaona UNLOCK/NETWORK UNLOCK ,
6,Ukiselect network unlock simu itaomba unlock codes , tumia 12345678
7,ukishamaliza hapo bonyeza button ya back mara moja, Utaona PERMANENTLY UNLOCK, chagua hiyo.
8, restart simu yako na kila kitu kitakua poa.
Enjooooooy
Huduma ya unlock codes ya simu za voda ipo, najitahid kukamilisha mfumo wa remote unlock ili niwafikie weny simu zenye security ngumu
Wenu mtiifu
PHILLZ UNLOCK SERVICE
maana yake"Wengu haliui ini"
Mzalishaji na mtumiaji wanahitajiana Kwahiyo asichoke kushare Kila apatapo ujuzi mwinginemaana yake
okMzalishaji na mtumiaji wanahitajiana Kwahiyo asichoke kushare Kila apatapo ujuzi mwingine
Simu za voda kwa sasa huwez toa kwa njia rahisi hizi zina security ya tofauti,ukipata na za kuunlock simu za voda tupia nazo
Kwa sasa simu za y330 huwez unlock kwa ku-calculate unlock codes, inatakiwa simu iwepo Physically, ili iwezi kutolewa lockMsaaada code za ku unlock huawei y330
Asante nitakutafutaKwa sasa simu za y330 huwez unlock kwa ku-calculate unlock codes, inatakiwa simu iwepo Physically, ili iwezi kutolewa lock
Procedure hii ina apply kwa tecno y3+Nimejaribu lakini nimefika hapo ukitouch haileti chochote msaada wako mkuu
kwenye Sim 2 imekubali sema sim 1 ndo imezingua hii ni tecno Y3+ zile za wagiftisheProcedure hii ina apply kwa tecno y3+
Na ukiona kote ni pako hivuo basi simu yako haina locki,