Jicho la tatu: Nape keep CCM under pressure

Heavy equipment

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,446
989
Baada ya kutumbuliwa kwa Nape,
Alipata time ya kuongea na waandishi wahabari.

Lakini kabla ya kuongea tayari, wamiliki wa ukumbi alipotaka kufanyia press conferees walipigiwa simu na kutishwa na viongozi wa polisi.

Baadaye aliongelea akiwa juu ya gari, lakini kabla ya kuongea kuna mtu alimtishia bastola.

Nape analo la moyoni sana na moja ya kauli zake ni :-

"" MKONO WANGU UMEUMIA KWA SABABU YA CCM""

"" KWENYE KAMPENI MIMI NALALA PORINI USIKU WENGINE WAKO HIGH TABLE WANAKUNYWA BIA""

"" WAAMBIE MIMI MMAKONDE":-hii kauli ameshajua kwa ndio unautumika kwa makonda na magufuli kulindana'

MACHOZI YAMTOKA-KIKWETE BAADA YA NAPE KUTUMBULIW:

Hapa kuna tatizo kubwa sana JK anajua njia zilozutumika za kupata utawala huu akiwepo NAPE:

Ndipo Nape akasema alikuwepo Nyerere, kawawa,-hawa wameondoka na sisi tutaondoka, taifa hili tutaliachaje kama.............wanapindisha ukweli??

Inamaana MAGUFULI+MAKONDA wataondoka na wao kama wengine!!!


Hapa msituni ndipo CCM ilivyo sasa hivi uwaoni watu wamepoteana, kinacho sikika hapa msituni sauti za ndege tu.

Nape anajua njia ya kuingia kwenye huu msitu ulipo,
Ndio maana ameanza kutafutwa.

Ngoja tusubir nini kitatokea kwenye huu msitu.
 
Ndio mkome kukabidhi nchi kwa mtu mmoja watu wanashangaa sasa lakini hawakumbuki kwenye kampeni 2015 alikuwa anasema serikali ya magufuli itafanya hivi ama vile mlijua anaiokoa ccm tuu ehh kwa taarifa yenu aliichukua na nchi nzima mikononi mwake kazi mnayo kuirudisha tena kwa wananchi maana kwa sasa ni ONE MAN SHOW anaamua kuteua ama kufukuza tuu apendavyo mambo ya uchumi na njaa zenu haimuhusu
 
machozi yamtoka jk baada ya nape kutumbuliwa, sijakupata hapo mkuu
 
Falme zimefarakana. Nape ataka kupimana nguvu na boss wake,JPM. Eti yeye mzaramo. Kwa hiyo? Hatari sana,tunaye Rais mtendaji,huwezi kuleta dharau
 
Wakati MNACHAKACHUA Lowasa hakuwa CCM, ila Nape ALIKUWEPO. Hofu yenu ilikuwa anaweza kwenda "Kusema Ukweli" ndio maana mkawa radhi kumtishia na "bastola." Naona ameamua "kutozitoa silaha zote."
Hata akisema ukweli ...mnaodhania so what...inchi inatawalika vizuri tu...na Magu...ndio raisi...hizo zingine ni kelele za chura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…