Jicho la tatu: Huyu mtu kweli kajichinja au wamechinga baada ya kugeukana?

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
48,809
150,421
Kuna video inasambaa inayodaiwa ni ya mtu mmoja alieua na kisha nae kuamua kujichinja.

Mtu huyo pia anadaiwa kuwa alikuwa anatengeneza vinywaji feki na kuviuza kabla ya mambo kuharibika baada ya kuwa ameua mwenzake anaedaiwa kuwa alikuwa mfanyakazi wake.

Binafsi najiuliza, hivi kweli mtu unaweza kumudu kujichanja?

Kama ni kujichoma kisu, walau inawzekana, lakini bado tukio hili linahitaji kuchunguzwa.

Je, haiwezekani kachinjwa na wenzake baada ya kugeukana kisa wakatengeneza mazingira ya kuwa kajichinja?

Hili tukio linahitaji uchunguzi tena wa hali ya juu na inawzekana kuna chain ndefu tu ya watu waliokuwa wanahusika kufanya nae hio biashara.
 
Ingekuwa kajichoma na kisu kidogo labda ingeniingia akili, lakini kusema kwamba mtu eti kajichinja mwenyewe tena baada ya kufanya mauaji kwa mwenzake, aisee hiyo kitu inahitaji roho ngumu sana au akili iliyovurugika kupitiliza.
 
Back
Top Bottom