Jiajiri kwa kuwa dalali wa kuuza Magari

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,677
6,049
Je unafahamu kwamba Watanzania wanaagiza Magari kupitia mitandao?Je unafahamu kwamba pia wapo watanzania ambao wanauza magari yao ambayo ni used in Tanzania?Je unafahamu kwamba hii ni fursa kwako wewe kuingiza kipato cha ziada kwa commission

Jifunze leo kuhusu namna biashara hii inavyofanya na uanze kutafuta wateja na kupiga mkwanja
 
Back
Top Bottom