Wakuu nashauri jf ifungiwe, maana ni kama madawa ya kulevya.Nimekuwa mhanga wa haya madawa.Ila tuache utani kuna mda inanifurahisha, niliwaza, na pia kujifunza vitu mbalimbali.Dah nimekuwa mtumwa wa jf
Hakuna ="vampire_hunter007, post: 19985403, member: 307656"]Hawa ndo walionunua viroba kwa wingi ile tarehe 28 na kuficha majumbani mwao.....Tutawakamata wote nyie[/QUOTE]
Wakina Nani hao
Najua ="Mondray, post: 19985829, member: 401770"]Mm mpaka sasa sijielewi bahat nzuri sisomi na wala sina kazi ni kulala tu la sivyo ningeumbuka ajili ya jf[/QUOTE]
Najuta kuijua jf
Wakuu nashauri jf ifungiwe, maana ni kama madawa ya kulevya.Nimekuwa mhanga wa haya madawa.Ila tuache utani kuna mda inanifurahisha, niliwaza, na pia kujifunza vitu mbalimbali.Dah nimekuwa mtumwa wa jf
Uwepo wa JF muda mwingine unaona hata magazeti hayana maana tena kwa sababu humu JF tunapata breaking news zote kisha zina jadiliwa vya kutosha kwa hiyo hata kesho yake ukiiona hiyo habari kwenye gazeti hutokuwa na mzuka nayo wa kutosha kwa sababu mwandishi wa hiyo habari ataandika kulingana na anavyoelewa yeye na hatoichimba kwa undani zaidi