Jeuri ya Pesa: Bondia Floyd MayWeather achoma dola hadharani

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866


Bondia mwenye jeuri ya pesa Mayweather amechoma pesa hadharani $100 kwa kiberiti,mbele ya wapqmbe wake huku akishangiliwa na wapambe

Pembeni akiwa amezungukwa na warembo waki-massage massage mwili wake...Jamaa ana kufuru sana ya pesa
 
Kina Bill Gate bado wanazisaka yeye anachoma, mweusi ni mweusi tu! Utajiri wake una thamani gani??

Yaani ni ajabu mkuu, huyo Mayweather hana hata Mfuko wa Hisani kama alivyo Bil Gate na wenzake. Yaani pamoja na kudaiwa kuwa ni tajiri bado Mayweather ni fukara tu na bongolala.

Hausgangazi Biblia inasema, Kutajirika kwa mpumbavu, kutamwangamiza.!

Vv
 
Mi nimeshangaa tu yeye kubeba dollar Milioni moja mkononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…