JET LI amkabidhi mkewe umiliki wa mali zake zote

Damaso

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
3,495
5,832
Mwigizaji Li Lianjie 'Jet Li' amewaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya kufunguka kuwa amemkabidhi mke wake Nina Li Chi utajiri na fedha zake zote.

Mwigizaji huyo mwenye utajiri unaokadiliwa kuwa zaidi ya dola milioni 260, kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni ameweka wazi kuwa uamuzi huo haukutokana na matatizo yake ya kiafya ambapo anasumbuliwa na ugonjwa wa hyperthyroidism na matatizo ya mgongo bali ni kwa sababu anaimani kubwa kwa mkewe.
images (90).jpeg

"Upendo wake wa kwanza, anastahili zaidi. Kwa hakika, kwa miaka mingi, Nina amekuwa kitu kikubwa kuliko tu kuwa mpenzi wangu yeye ni mshauri, nguzo yangu ya nguvu. Alikuwa daima upande wangu, Li wakati nilipokuwa chini kabisa, alinisimamia. Anasimamia kila kitu ili niweze kuzingatia kazi yangu na afya yangu. Lolote lile, namwamini. Yeye ndiye sababu naweza kuwa ninavyokuwa leo."

Nina ambaye ni mke wa Li alitwaa taji la Miss Asia mwaka 1986, wawili hao walikutana na kuanzisha uhusiano mwaka 1988, aidha moja ya sababu inayomvutia Li kutoka kwa mkewe ni kumtii kuacha shughuli zake za urembo na kujikita zaidi kulea familia.
images (91).jpeg

Uaminifu huo wa Li kwa mkewe uliibua mijadara mbalimbali katika mtandao wa Twitter (X) mashabiki wakiwapongeza wawili hao kwa kuaminiani wakiandika "Hii si kuhusu pesa, somo la upendo ni kuhusu kuthamini mtu ambaye amekuwa upande wako kupitia kila kitu,".

Mkali huyo wa filamu za ngumi ambaye amewahi kuonekana kwenye Mulan, League of Gods, The Founding of a Republic, War na nyinginezo alifunga ndoa na Nina mwaka 1999 na wamebahatika kupata watoto wawili pamoja. Hata hivyo anadai kuwa hata akitaka kununua kitu chochote basi atamuomba mkewe pesa.
 
View attachment 3217800

View attachment 3217801

Duh! Kumbe hadi wachina wanalimbwata.
 
Mimi mwenyewe mke wangu ni aina Mwanamke ninayeweza nikamkabidhi kila kitu na maisha yakaendelea and ofcourse nimemkabidhi, ila siwezi nikashauri watu wawaamini wanawake kiasi changu ingawa mimi sitaacha kumuamini kiasi hiki sababu hayupo sawa na hao
 
Back
Top Bottom