Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,957
- 13,717
TAARIFA KWA UMMA
Agosti 28, 2024 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitoa maamuzi yakekuhusiana na_ shauri lililowasilishwa mbele yake ambapo miongoni mwamaamuzi iliyotoa ni pamoja na kutoa amri kwa Jeshi la Polisi kufanya upelelezi kujua mahali walipo Viongozi wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA),Wilaya ya Temeke, (Deusdedit Soka na wenzake wawili) Jeshi la Polisi lilipokeaamri hiyo na kuongeza nguvu katika upelelezi ambao lilishaanza toka awalibaada ya kuripotiwa kupotea kwa viongozi hao.
Baada ya maamuzi hayo ya Mahakama Kuu, Jeshi la Polisi limepata taarifa zauhakika za Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)kufanya kikao kwa njia ya kielekroniki (zoom) na kukubaliana kwa vilehawajaridhika na maamuzi hayo ya mahakama kwa sababu hayakuakisimalengo yao, wafanye yafuatayo;
i) Waanze kuhamasisha wafuasi wao chinichini kufanya maandamano yakuelekea maeneo mbalimbali zikiwepo ofisi mbalimbali.
ii)Wahamasishe na kuunda vikundi vya vijana wapatao 20 wavamie vituo vyaPolisi vilivyopo Jijini Dar es Salaam kwa wakati mmoja.
Jeshi la Polisi linatoa onyo kali kwa yeyote atakaye endelea kuratibu,kuhamasisha na kushiriki katika uhalifu huo wakupangwa ambao lengo lake nikutaka kuvuruga amani ya nchi yetu baada ya kushindwa kwa mikakati yaoatashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria za nchi.
Jeshi la Polisi lingependa kusisitiza atakaye fika kituo chochote cha Polisi kwania ovu tumejiandaa na atashughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria.Imetolewa na
avid A. Misime - DCPMsemaji wa Jeshi la PolisiMakao Makuu ya PolisiDodoma, Tanzania.