Hawa madreka waliponaje,mgongano wa uso kwa uso?
hope watapewa mvua za kutosha
siku zote ukisafiri kaa upande wa dereva...,
dereva ikitokea ajali anakwepeshea upande wake
Anayetoa adhabu kali kwa mkosaji ni jeshi la polisi au mahakama??Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani limesema litawafikisha mahakamani madereva waliosababisha ajali ya vifo vya watu 30 pamoja na majeruhi 48 huko Manyoni mkoani Singida kwa kosa la kuuwa bila kukusudia huku likitoa onyo na kuhaidi kutoa adhabu kali kwa madereva watakao bainika kufanya mzaa wakati wa kupishana.
Chanzo: ITV