Wasalam,nimeshanga tabia ya jeshi la police kuvamia vituo vya bodaboda na kupakia pikipiki zote kwenye fuso na kuondoka nazo.
Hii kwa mara nyingine nimeishudia leo maeneo ya Tabata kwa Swai, je ni sahihi kukamata pikipiki zilizopaki?
Binafsi naona ni uonevu ulopitiliza kukusanya faini kwa mtindo huu.