Jerusalem Post: Kiongozi mkuu wa Iran Khamenei anaumwa vibaya muda wowote anatutoka

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
7,851
19,064
Kiongozi huyo mwenye miaka 85 yuko hoi sana kitandani na muda wowote anaweza kuaga dunia. Kwa sasa anayetarajia kupokea kijiti ni mtoto wake au mwingine atakayechaguliwa.

Taarifa hizi zimekuja siku moja baada ya kushambuliwa vibaya kwa maeneo zaidi ya 20 huko Iran.

Chanzo.
 
Vita Mbaya Sana Ndugu Zangu
Choko Choko
Zimekuwa Nyingi Sana Sasa Hivi Huwezi Kujua Katupiwa Kimbora Na Jirani
 
Back
Top Bottom