Jerry Murro: Serikali na TFF zinaihujumu Yanga

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,969
Msemaji wa klabu ya Yanga Jerry Murro akizungumza na waandishi wa habari amedai kuna watu wanahujumu uchaguzi wa klabu hiyo ndani ya TFF, Serikali na Yanga
wamesema wana ushahidi na wanaendelea kukusanya ushahidi na wakabisha atautoa ushahidi huo
 
Kila siku ni Muro na yule jamaa wa Simba hivi timu zingine vipi?
Wapi msemaji wa Azam
 
Muro kwa kuropoka tu hajambo ndio maana walimkamatisha rushwa kumfunga spidi ya kelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…