English tatizo eeh! Chukua hii "The building will be used as one-stop centre for all stakeholders and key players of the operations of Dar es Salaam Port such as Tanzania Revenue Authority (TRA), shipping agents, clearing and forwarding agents and other government institutions like TBS, TFDA and SUMATRA."Lina impact gani kwa maendeleo ya mtanzania mmojo mmoja?
Hawa waandishi wetu wa magazeti wajitahidi kufanya utafiti. PSPF twin Towers zina ghorofa 35, tena hayo majengo ya PSPF na TPA yako adjacent/Opposite kabisa. Lakini kama ni ujenzi wa jengo refu haiwezi kuwa TPA au PSPF twin Towers pekee. Kumbuka kwa data za sasa kwa Dar es Salaam, jengo refu linaloendelea kujengwa ni Mzizima Towers adjacent na Haidery Plaza pale Posta mjini kati. Mzizima Towers linajengwa na makampuni mawili ya kutoka China, likiwa na GHOROFA AROBAINI!EA tallest building in Dar ready August
DAILY NEWS REPORTER 04 APRIL 2016
CONSTRUCTION of the tallest building in Eastern and Central Africa, owned by Tanzania Ports Authority (TPA) will be complete in August.
According to the Director of KM&Archplans (T) Ltd, the lead company of construction consortium, Mr Albert Mwambafu, construction of the building was currently complete by 90 per cent.
He said that upon its completion, the 35-storey building will cost 120bn/-.
Among other things, the building will house a 50-seater rotating restaurant, 1,200-seater conference room, over 500-vehicle parking space, a viewing deck (facing Indian Ocean) and another 300-seater restaurant.
The building will be used as one-stop centre for all stakeholders and key players of the operations of Dar es Salaam Port such as Tanzania Revenue Authority (TRA), shipping agents, clearing and forwarding agents and other government institutions like TBS, TFDA and SUMATRA.
Nadhani TRA itakuwa inajiongezea kipato kupitia kodi, na hizo kodi nadhani unajua kazi yake.Lina impact gani kwa maendeleo ya mtanzania mmojo mmoja?
Hawa waandishi wetu wa magazeti wajitahidi kufanya utafiti. PSPF twin Towers zina ghorofa 35, tena hayo majengo ya PSPF na TPA yako adjacent/Opposite kabisa. Lakini kama ni ujenzi wa jengo refu haiwezi kuwa TPA au PSPF twin Towers pekee. Kumbuka kwa data za sasa kwa Dar es Salaam, jengo refu linaloendelea kujengwa ni Mzizima Towers adjacent na Haidery Plaza pale Posta mjini kati. Mzizima Towers linajengwa na makampuni mawili ya kutoka China, likiwa na GHOROFA AROBAINI!
Wewe unadhani uwepo wa one stop shop hauna impact kwenye uchumi wa nchi vis avi hali ilivyo sasa?Lina impact gani kwa maendeleo ya mtanzania mmojo mmoja?
Wewe unadhani uwepo wa one stop shop hauna impact kwenye uchumi wa nchi vis avi hali ilivyo sasa?
Watanzania bana, kila kitu twajipima na Kenya.Tutakuwa wa kwanza afadhali, tutawazidi hata Kenya mweeeee
English tatizo eeh! Chukua hii "The building will be used as one-stop centre for all stakeholders and key players of the operations of Dar es Salaam Port such as Tanzania Revenue Authority (TRA), shipping agents, clearing and forwarding agents and other government institutions like TBS, TFDA and SUMATRA."
Ee bwana. Kapicha ka hiyo 90% iliyokamilika!Picha
Haliwezi kukuletea ugali mezani, ila ukichangamka kuna fursa nyingi zinakuja humo ambazo zitakunufaisha wewe binafsi na taifa kwa jumla!Lina impact gani kwa maendeleo ya mtanzania mmojo mmoja?
Utakuwa hujakosea.Nikikuita ndondocha ntakuwa nimekosea?