Jengo lenye vyumba 19 vya kulala linauzwa, lipo Mwanza Buswelu, bei ni million 900 maongezi yapo

Apr 16, 2025
17
25
KARIBU UJIPATIE JENGO AMBALO UTAWEZA KULITUMIA KWA MATUMIZI MBALIMBALI

LIPO BUSWELU-MWANZA

LINA JUMLA YA VYUMBA 19 VYA KULALA PAMOJA NAMAHITAJI MENGINE YA NDANI

UKUBWA WA KIWANJA NI 4,900SQM

BEI NI MILLION 900,MAONGEZI YAPO

DOCUMENTS NI TITLE DEED

🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
 
Attachments

  • IMG-20250422-WA0567.jpg
    IMG-20250422-WA0567.jpg
    109 KB · Views: 1
  • IMG-20250422-WA0568.jpg
    IMG-20250422-WA0568.jpg
    99.2 KB · Views: 1
  • IMG-20250422-WA0569.jpg
    IMG-20250422-WA0569.jpg
    126.5 KB · Views: 1
  • VID-20250422-WA0570.mp4
    6.2 MB
It looks a bargain to me. Hii mtu atayanunua anaweza kuibadilisha ikawa bonge la hoteli na akapiga pesa ya maana sana. Hata hiyo milioni 900 sijui 800 itarudi ndani ya mda mfupi sana

Hapo mbele unaweka swimming pool na makorokoro kibao.

Sijawahi kwenda Mwanza, sijui huko Buswelu ni mjini au pakoje.

Vyumba 19 vya kulala maana yake hapo ukiweka bei ya kimaskini ya 30000 kwa siku kwa occupancy rate ya 60% maana yake hapo una kama

30,000 * 19 * 30 * 12 * 0.6 = Tzs 123 Million kwa mwaka

Ukiweka Swimming pool nalo linakupa pesa

Na Bar nayo na sehemu ya kula bado inakupa pesa

Aisee mwenye nazo achukue hii mali
 
Vipi gharama za kuendesha hiyo biashara (umeme, maji, wafanyakazi +maboresho). Kuna sehemu nyingine gharama za kupatunza au kupaendesha ni kubwa sana. Hela haijawahi kuwa rahisi.
 
KARIBU UJIPATIE JENGO AMBALO UTAWEZA KULITUMIA KWA MATUMIZI MBALIMBALI

LIPO BUSWELU-MWANZA

LINA JUMLA YA VYUMBA 19 VYA KULALA PAMOJA NAMAHITAJI MENGINE YA NDANI

UKUBWA WA KIWANJA NI 4,900SQM

BEI NI MILLION 900,MAONGEZI YAPO

DOCUMENTS NI TITLE DEED

🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Buswelu sehemu gani mimi naishi hapa NHC?!
 
Vipi gharama za kuendesha hiyo biashara (umeme, maji, wafanyakazi +maboresho). Kuna sehemu nyingine gharama za kupatunza au kupaendesha ni kubwa sana. Hela haijawahi kuwa rahisi.
Ndo maana nikaweka hiyo discounting factor mkuu ya 60%... ila kwa muonekano na ukubwa wa eneo hiyo kuna namna inaweza kuwa mali kama akili ikitumika vema
 
Lakini pia hizi gharama kwa sehemu kama Mwanza zinaweza kuwa chini sana mkuu. Hapo sana sana ni labor cost maana cost za utilities zinaenda sawa sawa na unavyopata wateja wa kulala
 
It looks a bargain to me. Hii mtu atayanunua anaweza kuibadilisha ikawa bonge la hoteli na akapiga pesa ya maana sana. Hata hiyo milioni 900 sijui 800 itarudi ndani ya mda mfupi sana

Hapo mbele unaweka swimming pool na makorokoro kibao.

Sijawahi kwenda Mwanza, sijui huko Buswelu ni mjini au pakoje.

Vyumba 19 vya kulala maana yake hapo ukiweka bei ya kimaskini ya 30000 kwa siku kwa occupancy rate ya 60% maana yake hapo una kama

30,000 * 19 * 30 * 12 * 0.6 = Tzs 123 Million kwa mwaka

Ukiweka Swimming pool nalo linakupa pesa

Na Bar nayo na sehemu ya kula bado inakupa pesa

Aisee mwenye nazo achukue hii mali
Mahesabu kwenye makaratasi ni rahisi sana.
 
Mwenye gofu lake ameanza kulinadi
It looks a bargain to me. Hii mtu atayanunua anaweza kuibadilisha ikawa bonge la hoteli na akapiga pesa ya maana sana. Hata hiyo milioni 900 sijui 800 itarudi ndani ya mda mfupi sana

Hapo mbele unaweka swimming pool na makorokoro kibao.

Sijawahi kwenda Mwanza, sijui huko Buswelu ni mjini au pakoje.

Vyumba 19 vya kulala maana yake hapo ukiweka bei ya kimaskini ya 30000 kwa siku kwa occupancy rate ya 60% maana yake hapo una kama

30,000 * 19 * 30 * 12 * 0.6 = Tzs 123 Million kwa mwaka

Ukiweka Swimming pool nalo linakupa pesa

Na Bar nayo na sehemu ya kula bado inakupa pesa

Aisee mwenye nazo achukue hii mali
 
Ndo maana nikaweka hiyo discounting factor mkuu ya 60%... ila kwa muonekano na ukubwa wa eneo hiyo kuna namna inaweza kuwa mali kama akili ikitumika vema
Umesema Occupancy rate ya 60% mkuu japo kwenye hesabu uliweka 100%. Kwahiyo Occupancy rate ndio ulimaanisha discounting factor ?
 
Kwa maana hata kwa bei ya 30,000 bafo itakuwa ni ndogo mno. Uliuliza kuhusu operation expenses na maintenance zitakuwa covered vip. Lakini still, bado hata uki factor in operation expenses na maintenance kuna uwezekano wa kuondoka na 85+ million kila mwaka mwich is a fair return kwangu mimi
 
Back
Top Bottom