Jemedari Saidi aja juu suala la Manula kukaa benchi.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
22,626
40,526
Meneja wa Aishi Manula, Jemedari Said awajia juu viongozi na mashabiki wanaomlaumu Aishi Manula kwa kufungwa nabangula.

"Kuna timu zinajimilikisha UHALALI WA KUSHINDA tu kwenye ligi yetu, zenyewe zikifungwa basi wachezaji WAMEUZA ! Kwani nyinyi timu zenu hazifungwi kawaida kwa kuzidiwa tu lazima iwe mchezaji ameuza mechi ?! Mnatoa tafsiri gani kwamba kuzidiwa kwenu ni kununuliwa wachezaji wenu basiii !! "

"Hakuna timu isiyofungika hapa chini au Duniani kwa ujumla, ajabu hapa Bongo kuna timu zenyewe zikifungwa basi wachezaji WAMEUZA mechi. Kwao wao timu HAIFUNGWI ila wachezaji wameuza, timu haifungwi tu kwa kawaida makosa ya kiwanjani kama mpira unavyotaka, wachezaji wenu ni malaika hawafanyi makosa kama binadamu wengine kiwanjani? Mbona nyinyi mnashinda mechi kibao kuliko mnazopoteza huwa mnanunua pia?"

"Kwetu wachezaji hakuna kitu kinaudhi na kukera kama kuambiwa umeuza mechi wakati sio kweli, anaekwambia umeuza mechi hajui mpira hajawahi kucheza hajui maumivu ya kiwanjani, kisa yeye ni kiongozi tajiri au CHAWA wa kiongozi au tajiri. Mara nyingine watu waliopewa kazi za usajili wakaleta wachezaji WABOVU hakuna pakujifichia kwa upigaji wao ni pale mchezaji anapokosea timu ikapoteza wanamuangushia mzigo woote kwamba kauza kuficha upuuzi wa wachezaji ‘mizigo’ waliyoleta. Wengine wanapewa pesa za ULOZI wakizidiwa au wakipiga basi wanaangalia wapi watatokea wanamwatwisha wachezaji mzigo wa kuuza mechi."

"Hawa wachezaji wenu ni binadamu kama nyinyi, wanazipenda kazi zao na hakuna mchezaji atapewa hela auze mechi akaenda kiwanjani afanye ujinga wa wazi kabisa kisa kapewa pesa, wachezaji sio wajinga hivyo. Waheshimuni hawa wachezaji ndiyo hawa hawa walikuwa wanawapa furaha mnachukua makombe mtawalia, au mlikuwa mnanunua wachezaji wa timu pinzani? Tuweni na kiasi fanyeni uwekezaji wa kweli pia FANYENI USAJILI KWELI sio kuleta makanjanja halafu mnajificha kwenye wachezaji kuuza."

"Pia timu zingine zina haki ya kushinda kuwafunga nyinyi kama nyinyi mnavyowafunga wao, wakiwafunga angalieni wapi mnakosea na ubora wa timu pinzani. Manchester City inaweza kuwa ndiyo timu bora Duniani kwa sasa, lakini inafungwa na timu ndogo ndogo za epl na wanaheshimu hilo kwakuwa wanaheshimu mpira na timu pinzani, nyinyi mnajiona mna haki ya kushinda na hamheshimu wengine, kwani wachezaji wenu wana miguu mitatu mitatu sio miwili kama wenzenu? Kubalini kupoteza kupo na makosa ndiyo soka."

©️ Jemedari Said
 
Hiki ndio nachosema kuwa moja ya sababu ambayo inanifanya kutotazama ligi yetu ni Kuwa simba na yanga ni dhambi kufungwa 🤔🤔🤔🤔🤔🤔 yaani hovyo hovyo
 
Njaa kali tu huyu bwege ndiyo maana Haji Manara huwa anamshukia kama mwewe
 
Hiki ndio nachosema kuwa moja ya sababu ambayo inanifanya kutotazama ligi yetu ni Kuwa simba na yanga ni dhambi kufungwa 🤔🤔🤔🤔🤔🤔 yaani hovyo hovyo

Hii ipo kwa Simba zaidi. Yanga walifungwa na ihefu hukusikia hujuma zaidi ya utani wa wapinzani tu. Msimu uliopita yanga alifungwa goli 2 bila na simba wala hatukusikia sijui nani kahujumu au nani kauza mechi. Ila simba wanayo sana hii hasa miaka ya hivi karibuni. Wao wakifungwa tu kuanzia Mo hadi ball boy wote wameuza mechi. Shame. Alafu huyo jemedari aache ujianga. Si aitaje tu Simba anaogopa nini?
 
Manula msimu ujao ajisarili kama mchezaji wa ndani.
Anaimudu sana nafasi ya ushambuliaji.
Namba 7, 9, 10, na 11.
Atatusaidia kupata magoli mengi.
 
Back
Top Bottom