Jemedari said: wachezaji toka nje ni Kwa ajili ya mechi za kimataifa

Jemedari said kasema uwezo wa wachezaji toka nje waliosajiliwa Simba na Yanga , uhalali wao wa kusajiliwa unatakiwa uonekane kwenye mechi za kimataifa na siyo kwenye mechi za ndani ya nchi.

Ana hoja, asikilizwe.
Mchambuzi wa redio, meneja wa Aishi Manula na CEO wa JKT Ruvu.

Hahaha hoja sometimes anachambua kitu kulinda/kutetea maslahi yake.
 
Jemedari said kasema uwezo wa wachezaji toka nje waliosajiliwa Simba na Yanga , uhalali wao wa kusajiliwa unatakiwa uonekane kwenye mechi za kimataifa na siyo kwenye mechi za ndani ya nchi.

Ana hoja, asikilizwe.
Wachambuzi wetu wengi ni wasema hovyo
 
Back
Top Bottom