Pale unaporudi nyumbani baada ya mihangaiko yako ya siku na kumkuta mdogo wako (tumbo moja, baba moja) akiangalia Tv sebuleni na kumuuliza aliko mtoto, naye kukujibu kuwa yuko chumbani! Unaingia chumbani, unamkuta mtoto yuko hivi! Utafanyaje??
Kwangu kila mtu anajua afadhali hata anipige kofi naweza nikamuignore lakini sio kumtesa au hata kumpiga rudely au bila sababu mtoto wangu. Linapokuja swala la mtoto hata undugu huwa unakaa pembeni na uzuri wanalijua.
Mimi siku nikijua mwanangu brian anateswa na house girl au ndugu yeyote, njooni mnisalimie segerea.. maana kama kuna kitu chochote pembeni nitamuua nacho huyo mtu alionitesea mwanangu. I swear sewezi vumilia hata sekunde.