Je Zitto Kabwe ana Legacy Gani Hapa Tanzania?

kumusoma

JF-Expert Member
Feb 3, 2014
567
893
Ndugu wanabodi habari zenu!!

Niende moja kwa moja kwenye mada.Ndugu Zitto Kabwe amekuwa akimshambulia mara kwa mara marehemu Rais wetu mpendwa ,kwa maneno makali.Na maneno haya yamekuwa hayana ushahidi wowote.Lakini serikali ya mama Samia imekaa kimya tu.

Ningependa kujua kuwa huyu ndugu ana legacy gani hapa Tanzania?Kwa kumbu kumbu zangu,ndugu huyu aliwahi kuwa mbunge wa bunge la JMT akitokea Mwandiga na Kigoma.Je ,kwa yeye kuwa mbunge na kuwa na chama chake cha ACT alishawahi kusaidia nini cha maana ili na yeye awe kwenye kumbukumbu kama ,tunavyomkumbuka mbunge Mkono kule Butihama,alifanya maendeleo makubwa.

Na wanasiasa wengine wengi walioleta maendeleo makubwa.
 
Tuanze na ww hata kwa levo ya kata, mtaa,kijiji, wilaya,mkoa na hata taifa kama unayo n ipi?
 
Viongozi wa kisiasa sio wafadhili wa maendeleo eti wawajengee barabara. Kazi yao ni kushawishi sera za serikali na kuelimisha wananchi. Wanasiasa watapata wapo fedha za kujenga kama sio wezi au matajiri?

Mimi sio shabiki wa Zitto ila naona anafanya kazi yake vema kama mwanasiasa. Pia siasa za wanasiasa wa upinzani Kigoma zinajulikana maana mara nyingi historia inajirudia.
 
Ndugu wanabodi habari zenu!!

Niende moja kwa moja kwenye mada.Ndugu Zitto Kabwe amekuwa akimshambulia mara kwa mara marehemu Rais wetu mpendwa ,kwa maneno makali.Na maneno haya yamekuwa hayana ushahidi wowote.Lakini serikali ya mama Samia imekaa kimya tu.

Ningependa kujua kuwa huyu ndugu ana legacy gani hapa Tanzania?Kwa kumbu kumbu zangu,ndugu huyu aliwahi kuwa mbunge wa bunge la JMT akitokea Mwandiga na Kigoma.Je ,kwa yeye kuwa mbunge na kuwa na chama chake cha ACT alishawahi kusaidia nini cha maana ili na yeye awe kwenye kumbukumbu kama ,tunavyomkumbuka mbunge Mkono kule Butihama,alifanya maendeleo makubwa.

Na wanasiasa wengine wengi walioleta maendeleo makubwa.
Zitto hana legacy yeyote hapa Tanzania zaidi ya kuwa msaliti na opportunist
 
Back
Top Bottom