DidYouKnow
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,229
- 1,950
Toilet paper na tissue paper hata kama baadhi ya wakati hutengenezwa kwa maumbo sawa, hazifanani matumizi.
Toilet paper imetengenezwa kuyeyuka haraka majini, hivyo kuifanya iwe salama kwa mabomba na mifumo ya maji taka. Toilet paper imetengenezwa kwa makusudi ya kujisafisha baada ya kutumia choo.
Tissu paper kama facial tissue au tissue paper, ni laini zaidi na wakati fulani zinaweza zikawa na losheni au harufu; zimekusudiwa kutumika kutoa kamasi au uchafu wa pua au kufuta uso au matumizi mengineyo nje ya choo au bafu.
Kutumia tissue paper za uso badala ya toilet paper bafuni kunaweza kusababisha mabomba kuziba kwa sababu haziyeyuki kwa urahisi. Kwa hivyo, tumia toilet paper kwa matumizi ya bafuni na tissue paper au facial tissue kwa ajili ya uso au pua ili kuepuka matatizo yoyote ya mabomba.