Je, wajua teknolojia ni ajira kubwa sana?

jayleoncy112

Senior Member
Jul 17, 2016
164
73
Katika siku za hivi karibuni tangu mwaka 2011 na kuendelea ndipo teknolojia ilikua kwa kasi nchini. Maana yangu kubwa ni kwamba teknolojia ni ajira kubwa sana kwa sasa hapa mjini.

Je unajua unahitaji mtaji wa sh. lak 5 tu kuanza biashara. Je wajua masoko ya teknolojia yako wapi?

Hebu naomba maoni yenu kama mnahitaji kujua haya yote.
 
nilidhani kuna kitu unataka kutuambia kitu kumbe unaishia kutuuliza
 
Mweh!

Majanga...yaani umeleta huu uzi kama mtu anaejua kumbe nawewe umeleta ili ujue...
 
ok nmegundua mnahitajibelimu hii bas kaavtayar weekend hii naanza kuchapisha makara nzur za hii ishu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…