Je, wajua kuwa Mkapa anaweza kushitakiwa? Kinga ya kutoshitakiwa haihusu Rais kufanya biashara Ikulu

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
52,683
119,318
Wanabodi,

Matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni pamoja na wanamtandao wenye kujua jambo fulani, kuwaelimisha wengine ili tuu kuwajuza, hivyo hili ni bandiko elimishi.

Tanzania ni nchi huru inayotawaliwa kwa mujibu wa katiba inayoheshimu utawala wa sheria, taratibu na kanuni, rais ndie Mkuu wa nchi anayechaguliwa kwa mujibu wa katiba, na kuapa kuilinda, kuiheshimu na kuitekeleza katiba kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni.

Katiba imeweka majukumu ya rais ikiwemo rais wetu anaweza kufanya nini na nini hapaswi kufanya akiwa Ikulu.

Katika kumpa uhuru rais wetu katika kutekeleza majukumu yake ya kirais, katiba imempatia rais wetu kinga ya kutokushitakiwa.

Ila pamoja na kuwepo kwa kinga hiyo haimaanishi kuwa rais wetu anaweza kujifanyia tuu jambo lolote au kufanya kila kitu ikiwemo uvunjifu wa Katiba, Sheria, taratibu na kanuni, kwa hoja kuwa yeye ni rais, hawezi kushitakiwa, hivyo anafanya chochote akiachwa tuu huku tukimwangalia, No!, rais wetu anapaswa kila awazalo, asemalo, na atendalo liwe ni kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni na akifanya vinginevyo, iwe ni kwa maslahi ya taifa.

Ile kinga ya rais kutokushitakiwa haihusu mambo yote rais aliyoyatenda akiwa Ikulu. Kinga ya rais kutokushitakiwa inahusu mambo yale tuu ambayo rais ameyatenda katika kutimiza majukumu yake ya kirais, yaani ile kinga ya rais kutokushitakiwa inahusu discharging presidential duties only and not otherwise!.
Ushauri wa bure kwa CCM: Hope for the best but get prepared for ...
Sheria yenyewe inasema hivi
46.-(1) Wakati wote Rais atakapokuwa bado ameshika madaraka yake kwa mujibu wa Katiba hii, itakuwa ni marufuku kumshitaki au kuendesha mashataka ya aina yoyote juu yake mahakamani kwa ajili ya kosa lolote la jinai.
(2) Wakati wote Rais atakapokuwa bado ameshika madaraka yake kwa mujibu wa Katiba hii, haitaruhusiwa kufungua mahakamani shauri kuhusu jambo lolote alilolitenda au alilokosa kulitenda yeye binafsi kama raia wa kawaida ama kabla au baada ya kushika madaraka ya Rais, ila tu kama angalau siku thelathini kabla ya shauri kufunguliwa mahakamani, Rais atapewa au ametumiwa kwamba taarifa ya madai kwa maandishi kwa kufuata utaratibu uliowekwa kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na Bunge, na taarifa hiyo ikiwa inatoa maelezo kuhusu chanzo cha shauri hilo, kiini cha madai yenyewe, jina lake na anwani ya mahali anapoishi huyo mdai na jambo hasa analodai.
(3) Isipokuwa kama ataacha kushika madaraka ya Rais kutokana na masharti ya ibara ya 46A(10), itakuwa ni marufuku kumshtaki au kufungua mahakamani shauri lolote la jinai au la kumdai mtu aliyekuwa anashika madaraka ya Rais baada ya kuacha madaraka hayo kutokana na jambo lolote alilofanya yeye kama Rais wakati alipokuwa bado anashika madaraka ya Rais kwa mujibu wa Katiba hii.

Hii maana yake
1. Rais wakati akiwa madarakani kama rais nchi, hatashitakiwa mahakamani kwa kosa lolote, as heshima kwa rais wetu, ila akiisha maliza kipindi chake cha urais, kinga hii huwa imemalizika, hivyo ikiwa rais amefanya makosa mengine yoyote wakati akiwa Ikulu, na makosa hayo sio miongoni mwa majukumu take ya urais, mfano kwa rais kufanya biashara akiwa Ikulu, kwa kutumia presidential advantages, na iwapo kitendo cha rais aliyemadarakani kufanya biashara binafsi Ikulu kwa kutumia mwamvuli wa Ikulu, na sio miongoni mwa majukumu ya rais wetu ndani ya Ikulu yetu, rais aliyefanya biashara Ikulu anaweza kabisa kushitakiwa kwa sababu kufanya biashara Ikulu, na kujiuzia rasilimali za nchi hii sio miongoni mwa majukumu ya urais.

Hapa naomba tutofautishe rais kufanya biashara Ikulu kama rais, na rais kufanya biashara binafsi Ikulu kama Mtanzania mwingine yoyote kwa kipato chake kama rais anayo haki ya kufanya biashara yoyote halali kwa kipato chake, akiwa Ikulu, kwa sababu Ikulu ni ofisini kwa rais na Ikulu pia ni nyumbani kwa rais, hivyo rais naye anazo haki nyingine zote za kiraia, ikiwemo haki ya kufanya biashara binafsi mfano kilimo, ufugaji au kumiliki kampuni as a silent partner, kununua shares au kufanya lolote kwa fedha zake as long as yote anayoyafanya hayafanyii kwa kutumia mwamvuli wa urais akiwa Ikulu yetu, bali huyafanya akitumia haki zake za kiraia kupitia Ofisi Binafsi ya rais ambayo nayo inagharimiwa na serikali kama sehemu ya marupurupu ya urais.

Kufanya Biashara Ikulu ni kile kitendo cha kuitumia presidential advantage ya kuwepo kwake Ikulu na kuitumia kofia ya urais ya Ikulu kupiga madili, ndio maana niliwaambia watu humu tuwashukuru sana BAE kuficha majina ya waliolipwa zile kickbacks za Rada, wangeyaanika ingekuwa aibu kubwa!.

Nakiri kupandisha bandiko hili kufuatia andiko hili
Ben Mkapa, you had better keep your mouth shut.

la Mkuu huyu
Ben Mkapa, former president who some accuse of engineering ‘toxic’ investment, is at it again. Mkapa without self control claimed that President John Magufuli’s critics are fools.
For him, nobody is entitled to airing one’s grievances even when the Opposition has been banned from conducting political rallies! Mkapa fired salvos in Chato he went to handover 50 houses his Foundation built; the opportunity he seized to bootlick Magufuli.
Considering the soup Mkapa is supposed to be in with regarding graft committed in office, I wonder why he’s attempting such a suicide unnecessarily, especially as we recently evidenced former presidents in South Korea and Brazil being brought to book. Again, why Mkapa is behaving irresponsibly and eccentrically knowingly; his dirty linens are on the agora? Had Tanzania been truly ethical; and not selective in war on graft, Mkapa wouldn’t have jabbered like he did or been receiving retirement perks. What for; while his mess is now making everybody woozy? Mkapa is lucky. Magufuli chose to crucify monkeys and spare the hippos in the case of vandalising a farm.
Has Mkapa forgotten? Tanzanians know to well; he made use their highest office. Is it because Mkapa’s always played holier than thou; or he just wanted to entice Magufuli so that he can spare him from criminal liability, particularly his involvement in obtaining Kiwira Coal Mine illegally; and illegally doing business in the state house? The bottom line is simple. If Mkapa thinks Tanzanians are fools, any gorilla can abuse, he better keep mum.
To help Mkapa and the likes, as a nation, we better get to the bottom of their netherworld. The Bible’s it: The proud and arrogant person—“Mocker” is his name; and behaves with insolent fury.
Knowing Mkapa well, he said what he said not just because he willed to. It is out of necessity resulting from Magufuli’s pace of cleansing the boils. For, if you revisit Mkapa’s history, you wonder where Mkapa gets the guts to affront Tanzanians. Has he forgotten? Tanzanians still vividly remember his wheels and deals i.e. how he felled the then lucrative National Bank of Commerce (NBC); and how his relatives and friends made a killing out of it?
Further, Tanzanians still remember Mkapa’s illegal companies such as Anna and Ben (ANBEN) TanPower Resources Company Limited he jointly owned with his former minister and consigliore Daniel Yona who has already been convicted, with the aim of plundering energy sector not to mention the felling of Tanesco whereby Mkapa’s Tanpower Company schemed to get $3.65 million monthly.
There’s still more vis-à-vis Mkapa’s netherworld. Tanzanians still remember. Mkapa allowed his family to rob their country? Refer to his Son and daughter-in-law Nicholas and Forster Enterprises (Fosnik); not to mention doing business while in the office of president implying the conflict of interests? Refer to how Tanpower secured Sh17.7 billion from the CRDB using presidential powers.
Has Mkapa forgotten? He allowed his wife to form a shoddy NGO, Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) as a conduit by which to mint and print quick bucks? Are Tanzanians, mainly critics, fools for making do with such rot, especially when Magufuli openly said that they must leave Mkapa to retire peacefully after ruining and vending their resources? Who’s a fool; the one that vended others or those he vended? Will Mkapa succeed in enticing Magufuli so that he can protect him while openly knowing that Tanzania belongs to Tanzanians but not to Magufuli? Will Tanzanians allow themselves to be taken for a ride and end up in sheepishness?
Furthermore, Mkapa’s implicated in BoT’s External Payment Arrears account (EPA) scam involving billions of shillings. Refer to revelations by Bhindika Michael Sanze who handled EPA documents who named Mkapa and other top dogs to be the architects of the scam.
Neither Mkapa nor his accomplices refuted such allegations. People know more than Mkapa thinks. Has Mkapa forgotten about inflating the price of purchasing two military radars that ended up sinking billions of shillings before the Serious Fraud Office (SFO) unearthed and found that Mkapa’s government conspired with BAE systems to rob Tanzanians? Tanzanians still vividly remember. He wrapped public houses they divided among bigwigs.
Ironically, Mkapa is now proud of building a handful of houses in various regions. Does their value equal the ones they stole in Dar’s posh areas and elsewhere? Again, Mkapa company, sorry, foundation doesn’t spend any coin from its pocket. The houses Mkapa was bloviating about were financed by the government of Japan. Barack Obama isn’t in such dressing down business after exiting power. His is to offer ideas on how to make the world better but not to waste time in petit business like Mkapa.
This is the biggest sitting-duck like African rulers’ anomaly. You wonder; a person who abused his office by entering bogus and thievish contracts to have the guts of going cap in hand; and astonishingly still is proud of it. I wrote in my scholarly book Africa Reunite or Perish that a beggar is a beggar even if he or she’s in expensive suits or answers to the title president and whatnots.
In sum, Mwl Julius Nyerere, our founder, didn’t build even a single house. Yet, thanks to his probity, he protected our resources. He who lives in a glass house shouldn’t throw stones at others. Mr Mkapa, you better keep your mouth shut rather than borrowing troubles.
Mkuu Okw Boban Sunzu, kama ni kweli
Rais Mstaafu Mkapa aliyafanya haya yote uliyoeleza humu, kwa kutumia mwamvuli wa urais akiwa Ikulu yetu then ile kinga ya rais kutokushitakiwa, haimhusu, hivyo anashitakika!.

NB Kushitakika ni jambo moja na kushitakiwa ni jambo jingine. Kwa haya yaliyofanywa na rais Mkapa, uamuzi wa kutokushitakiwa ni uamuzi wa a political will ya JK kuwa rais Mkapa kuachwa apumzike na kustaafu kwa amani lakini sio hashitakiwi kwa sababu ana kinga ya kutokushitakiwa, ile kinga hapa haihusu katika hayo.

Bahati nzuri sana makosa ya jinai hayana kipengele cha the limitations of time, hivyo Watanzania wazalendo wa nchi hii, tuendelee kuiombea sana nchi yetu iendelee kuwa ni nchi ya amani hivi hivi ilivyo chini ya CCM na kuiombea sana CCM kwa Mungu, iendelee kutawala Tanzania milele ili pia maraisi wetu wastaafu waweze kuendelea kuachwa wastaafu na wapumzike kwa amani na kujilia kwa ulaini, pensheni zao za urais mstaafu ambazo ni 80% ya the current sitting president kwa amani.

Mungu Ibariki Tanzania,

Paskali
Ushauri wa bure kwa CCM: Hope for the best but get prepared for ...
Ataka Mkapa na Kikwete Wafutiwe Kinga ya Kutokushitakiwa ...
Kuna Kitu Very Serious CAG Amekisema!. Hii Kitu Haiko Sawa And Its ...
CHADEMA Ikipewa Nchi, October 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala ...

Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public ...
Mwito Kwa Wana JamiiForums Kuhusu Ukosoaji wa Rais Magufuli | Page ...
Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio ...
Je, wajua suala vyeti vya Bashite, linaweza kabisa kumng'oa Rais ...
Kutoa siri za Nchi nje ya Nchi ni Uhaini. Maofisa Hawa Wametoa ...
 
Muacheni Jembe Mkapa ale Bata punguzeni wivu.

Kwa hakika kwangu binafsi Nilitokea kuikubali uongozi wa awamu ya Tatu kuliko zote tangu niianze ile ya Mwinyi.

Mkapa ni miongoni mwa Maraisi waliowahi kukiri pale alipokosea.

Hakuna biashara uifanyayo isilete hasara. Mazingira mazuri ya uwekezaji ni pamoja na matunda yake.

Miundombinu mingi sana nchini hapa imetokana na uongozi wa awamu ya Tatu.

Mzee Nkapa popote ulipo pumzika kula pension yako taraaaatiiibu, kijiti si chako tena Asante kwa yote uliyoifanyia Tanzania.

Ila Nakuomba usisite kumng'ata sikio Mzee wa Chato pale ukiona hauko sahihi maana kijiji bila wazee ni....

Nilizidi kukwamini zaidi pale ulipojutia nafsini mwako kutowajali wakulima ndo jambo unalolijutia sana katika kipindi chote ulichopata kuwa Raisi wa Nchi hii.

Kila la Kheri Mzee wangu,
Blaza Pascal tusifukue makaburi pambana tupate Katiba mpya tu madhaifu tuliyonayo tupate yatibia huko.

Jumapili njema.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wanabodi,

Matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni pamoja na wanamtandao wenye kujua jambo fulani, kuwaelimisha wengine ili tuu kuwajuza, hivyo hili ni bandiko elimishi.

Tanzania ni nchi huru inayotawaliwa kwa mujibu wa katiba inayoheshimu utawala wa sheria, taratibu na kanuni, rais ndie Mkuu wa nchi anayechaguliwa kwa mujibu wa katiba, na kuapa kuilinda, kuiheshimu na kuitekeleza katiba kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni.

Katiba imeweka majukumu ya rais ikiwemo rais wetu anaweza kufanya nini na nini hapaswi kufanya akiwa Ikulu.

Katika kumpa uhuru rais wetu katika kutekeleza majukumu yake ya kirais, katiba imempatia rais wetu kinga ya kutokushitakiwa.

Ila pamoja na kuwepo kwa kinga hiyo haimaanishi kuwa rais wetu anaweza kujifanyia kila kitu alimradi yeye ni rais akiachwa tuu huku tukimwangalia, No!, rais wetu anapaswa kila asemalo, afanyalo na atendalo liwe ni kwa mujibu wa katiba na kwa maslahi ya taifa.

Je Wajua Kuwa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Kwa Baadhi ya Mambo Aliyoyafanya na Kuyatenda Akiwa Ikulu Yetu ya Magogoni, Anaweza Kabisa Kushitakiwa na Akikutwa na Hatia Akahukumiwa Kama Mhalifu Mwingine Yoyote?.

Ile kinga ya rais kutokushitakiwa haihusu mambo yote rais aliyoyatenda akiwa Ikulu. Kinga ya kutokushitakiwa inahusu mambo tuu ambayo rais ameyatenda katika kutimiza majukumu yake ya kirais, yaani ile kinga ya rais kutokushitakiwa inahusu discharging presidential duties only and not otherwise!.

Kipengele chenyewe ni hiki

Hii maana yake kama rais amefanya makosa mengine yoyote wakati akiwa Ikulu, na makosa hayo sio miongoni mwa majukumu yake ya urais, mfano kwa rais kufanya biashara akiwa Ikulu, iwapo kitendo cha rais aliyemadarakani kufanya biashara binafsi Ikulu sio miongoni mwa majukumu ya rais wetu ndani ya Ikulu yetu, rais aliyefanya biashara Ikulu anaweza kabisa kushitakiwa kwa sababu kufanya biashara Ikulu kujiuzia rasilimali za nchi hii sio miongoni mwa majukumu ya urais.

Hapa naomba tutofautishe rais kufanya biashara binafsi kwa kipato chake kama rais anayo haki ya kufanya biashara yoyote halali kwa kipato chake mfano kilimo, ufugaji au kumiliki kampuni as a silent partner, kununua shares au kufanya lolote kwa fedha zake as long as yote anayoyafanya hayafanyii akiwa Ikulu yetu.

Kufanya Biashara Ikulu ni kile kitendo cha kuitumia advantage ya kuwepo Ikulu na kuitumia from ya Ikulu kupiga madili, ndio maana niliwaambia watu humu tuwashukuru sana BAE kuficha majina ya waliolipwa kickbacks za Rada, wangeyaanika ingekuwa aibu kubwa!.

Nakiri kupandisha bandiko hili kufuatia andiko hili
Ben Mkapa, you had better keep your mouth shut.

la Mkuu
Mkuu Okw Boban Sunzu, kama ni kweli
Rais Mstaafu Mkapa aliyafanya haya yote uliyoeleza humu, then ile kinga ya rais kutokushitakiwa, hamhusu, hivyo anashitakika!.

NB Kushitakika ni jambo moja na kushitakiwa ni jambo jingine. Kwa haya yaliyofanywa na Mkapa, uamuzi wa kutokushitakiwa ni a political will ya kuachwa apumzike na kustaafu kwa amani lakini sio sio kwa sababu ana kinga ya kutokushitakiwa.

Bahati nzuri sana makosa ya jinai hayana kipengele cha the limitations of time, hivyo Watanzania wazalendo wa nchi hii, tuendelee kuiombea sana nchi yetu iwe ya amani hivi hivi ilivyo chini ya CCM na kuiombea CCM iendelee kutawala milele ili pia maraisi wetu wastaafu waweze kuendelea kuachwa wapumzike kwa amani na kujilia pensheni zao za 80% ya the sitting president kwa amani.

Mungu Ibariki Tanzania,

Paskali

Hahahahahahahhaha Shemeji wazee walisema ukila na kipofu usimshike mkono.Naona wazee wetu wameanza kutushika mikono baada ya wao kuvimbiwa.
 
Kitendo cha kurudia kuwatukana watanzania wapumbavu kiliniudhi sana na kunifanya nizidi kumdharau sana, ni mtu wa hovyo sana huyu mzee

Anayohaki ya kutuita hivyo maana ndivyo tupo hivyo.Wamekwapua na so kuiba bado analipwa kwa Jodi zetu na bado wakipita tunawapigia makofi na kuwasifu kuwa wao ni watukufu sana.
 
Muacheni Jembe Mkapa ale Bata punguzeni wivu.

Kwa hakika kwangu binafsi Nilitokea kuikubali uongozi wa awamu ya Tatu kuliko zote tangu niianze ile ya Mwinyi.

Mkapa ni miongoni mwa Maraisi waliowahi kukiri pale alipokosea.

Hakuna biashara uifanyayo isilete hasara. Mazingira mazuri ya uwekezaji ni pamoja na matunda yake.

Miundombinu mingi sana nchini hapa imetokana na uongozi wa awamu ya Tatu.

Mzee Nkapa popote ulipo pumzika kula pension yako taraaaatiiibu, kijiti si chako tena Asante kwa yote uliyoifanyia Tanzania.

Ila Nakuomba usisite kumng'ata sikio Mzee wa Chato pale ukiona hauko sahihi maana kijiji bila wazee ni....

Nilizidi kukwamini zaidi pale ulipojutia nafsini mwako kutowajali wakulima ndo jambo unalolijutia sana katika kipindi chote ulichopata kuwa Raisi wa Nchi hii.

Kila la Kheri Mzee wangu,
Blaza Pascal tusifukue makaburi pambana tupate Katiba mpya tu madhaifu tuliyonayo tupate yatibia huko.

Jumapili njema.

Post sent using JamiiForums mobile app

Ni kwa sababu yenu ameendelea kututukana watanzania. Mkapa hana lolote alilolifanyia Taifa letu zaidi ya kukwapua raslimali zetu kwa faida ya familia yake.
 
Kitendo cha kurudia kuwatukana watanzania wapumbavu kiliniudhi sana na kunifanya nizidi kumdharau sana, ni mtu wa hovyo sana huyu mzee
Ila ni kweli siye ni malofa na mapumbavu ya kutosha.kama tunaichekelea tu hii katiba ilivyo na inayoruhusu ata rais kutuuza ni kwann asituite mapumbavu na malofa!?.kama kaingia mikataba mibovu yote ya madin na kuuza bank kwa bei ya kutupa then tunampigia makofi tuu kama mazuzu ni kwann asituite malofa na mapumbavu!?.kama nyumba za serikali zagaiwa watu kama peremende na tunabaki kugonga meza mjengon kwa ndiyoo ni kwanini asituite milofa na mapumbavu!?. Mzee pumzika zako na uzidi kutuita milofa na mapumbavu hadi hapo tutakapo zinduka,,!.Tunaangamia kwa kukosa maarifa na aliyetuloga naye kalogwa!.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa system yetu hapa bongo inavyoenda, let alone kushtakika naamini kabisa kuwa itachukua karne nyingi sana kwa viongozi waliokaa ikulu kusimama kizimbani na sababu zangu ni hizi hapa;

Moja; Tumeshuhudia marais kuanzia wa pili mpaka wa nne( huyu wa sasa sijapata clues) walikuwa ni watu wa "SPECIAL BRANCH"; naanza kukuchambulia nikianza na Mwinyi. Mzee Mwinyi alishakuwa waziri wa Internal affairs ambapo kwa wale mnaofuatilia vizuri mawaziri wa wizara hiyo huwa ni watu wa " SPECIAL BRANCH" kwa kuongezea pia ukitaka kuthibitisha hilo kwa wale ambao mlikuwa na ufahamu kidogo miaka ya themanini na tano zile siasa na harakati alizofanya Mwinyi baada kujiuzulu,kuukwa urais z'bar na kisha urais wa Jamhuri kulidhihirisha Mwinyi ni MTU wa aina gani.
Nikienda kwa BIG BEN nae aliwahi shika wadhifa(foreign affairs) ambao pia ni wa watu wa "SPECIAL BRANCH".
Yule wa nne nae aliwahi shika wadhifa(foreign affairs) ambao pia ni wa watu wa "SPECIAL BRANCH".

Naishia hapa!
 
Wanabodi,

Matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni pamoja na wanamtandao wenye kujua jambo fulani, kuwaelimisha wengine ili tuu kuwajuza, hivyo hili ni bandiko elimishi.

Tanzania ni nchi huru inayotawaliwa kwa mujibu wa katiba inayoheshimu utawala wa sheria, taratibu na kanuni, rais ndie Mkuu wa nchi anayechaguliwa kwa mujibu wa katiba, na kuapa kuilinda, kuiheshimu na kuitekeleza katiba kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni.

Katiba imeweka majukumu ya rais ikiwemo rais wetu anaweza kufanya nini na nini hapaswi kufanya akiwa Ikulu.

Katika kumpa uhuru rais wetu katika kutekeleza majukumu yake ya kirais, katiba imempatia rais wetu kinga ya kutokushitakiwa.

Ila pamoja na kuwepo kwa kinga hiyo haimaanishi kuwa rais wetu anaweza kujifanyia kila kitu alimradi yeye ni rais akiachwa tuu huku tukimwangalia, No!, rais wetu anapaswa kila asemalo, afanyalo na atendalo liwe ni kwa mujibu wa katiba na kwa maslahi ya taifa.

Je Wajua Kuwa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Kwa Baadhi ya Mambo Aliyoyafanya na Kuyatenda Akiwa Ikulu Yetu ya Magogoni, Anaweza Kabisa Kushitakiwa na Akikutwa na Hatia Akahukumiwa Kama Mhalifu Mwingine Yoyote?.

Ile kinga ya rais kutokushitakiwa haihusu mambo yote rais aliyoyatenda akiwa Ikulu. Kinga ya kutokushitakiwa inahusu mambo tuu ambayo rais ameyatenda katika kutimiza majukumu yake ya kirais, yaani ile kinga ya rais kutokushitakiwa inahusu discharging presidential duties only and not otherwise!.

Kipengele chenyewe ni hiki

Hii maana yake kama rais amefanya makosa mengine yoyote wakati akiwa Ikulu, na makosa hayo sio miongoni mwa majukumu yake ya urais, mfano kwa rais kufanya biashara akiwa Ikulu, iwapo kitendo cha rais aliyemadarakani kufanya biashara binafsi Ikulu sio miongoni mwa majukumu ya rais wetu ndani ya Ikulu yetu, rais aliyefanya biashara Ikulu anaweza kabisa kushitakiwa kwa sababu kufanya biashara Ikulu kujiuzia rasilimali za nchi hii sio miongoni mwa majukumu ya urais.

Hapa naomba tutofautishe rais kufanya biashara binafsi kwa kipato chake kama rais anayo haki ya kufanya biashara yoyote halali kwa kipato chake mfano kilimo, ufugaji au kumiliki kampuni as a silent partner, kununua shares au kufanya lolote kwa fedha zake as long as yote anayoyafanya hayafanyii akiwa Ikulu yetu.

Kufanya Biashara Ikulu ni kile kitendo cha kuitumia advantage ya kuwepo Ikulu na kuitumia from ya Ikulu kupiga madili, ndio maana niliwaambia watu humu tuwashukuru sana BAE kuficha majina ya waliolipwa kickbacks za Rada, wangeyaanika ingekuwa aibu kubwa!.

Nakiri kupandisha bandiko hili kufuatia andiko hili
Ben Mkapa, you had better keep your mouth shut.

la Mkuu
Mkuu Okw Boban Sunzu, kama ni kweli
Rais Mstaafu Mkapa aliyafanya haya yote uliyoeleza humu, then ile kinga ya rais kutokushitakiwa, hamhusu, hivyo anashitakika!.

NB Kushitakika ni jambo moja na kushitakiwa ni jambo jingine. Kwa haya yaliyofanywa na Mkapa, uamuzi wa kutokushitakiwa ni a political will ya kuachwa apumzike na kustaafu kwa amani lakini sio sio kwa sababu ana kinga ya kutokushitakiwa.

Bahati nzuri sana makosa ya jinai hayana kipengele cha the limitations of time, hivyo Watanzania wazalendo wa nchi hii, tuendelee kuiombea sana nchi yetu iwe ya amani hivi hivi ilivyo chini ya CCM na kuiombea CCM iendelee kutawala milele ili pia maraisi wetu wastaafu waweze kuendelea kuachwa wapumzike kwa amani na kujilia pensheni zao za 80% ya the sitting president kwa amani.

Mungu Ibariki Tanzania,

Paskali
Hili jamaa lilikuwa jizi kweli kweli nasikia pia ndo limiliki la Kagera Sugar...aisee namulelewa yule msukuma sasa anaposema makaburi mengine hayafukuliki....duh
 
Kitendo cha kurudia kuwatukana watanzania wapumbavu kiliniudhi sana na kunifanya nizidi kumdharau sana, ni mtu wa hovyo sana huyu mzee

Ni mzee wetu lakini bado hajaijua hii dunia kuwa ni ya mviringo, leo anasema linalokuja kinywani bila kujua laweza kuwa msumari wa moto kwake hapo baadaye.

Kama atakumbuka vizuri kulikuwa na Rais wa Chile akiitwa Pinochet ambaye aliiongoza nchi kidikteta lakini mwisho wa maisha yake ulikuwa mbaya sana,alitakiwa kufika mahakamani kujibu mashtaka yaliyokuwa yakimkabili.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Bashite ambaye kafanya makosa wakati huu huu ila kashindwa kushitakiwa sasa itakuwa huyo wa zamani. Hii ni kushindwa maini na kujaribu mfupa
 
Back
Top Bottom