Je, wajua kuwa binadamu anaweza akafa akiwa mwanaume ila katika re birth akawa mwanamke?

wasumu

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
2,143
1,870
watu wengi hawajui kifo ni nini lakini watu wengi hawajui kuwa sasa hivi unaweza ukawa mwanaume ukafa
katika re birth ukawa mwanamke au kuku ,au jiwe au kitu chochote kile samahani kama hujui usi comment big persontalk with big person.

Jesus alisema mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa vitu vyote ni sawa.
 
watu wengi hawajui kifo ni nini lakini watu wengi hawajui kuwa sasa hivi unaweza ukawa mwanaume ukafa
katika re birth ukawa mwanamke au kuku ,au jiwe au kitu chochote kile samahani kama hujui usi comment big persontalk with big person.

Jesus alisema mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa vitu vyote ni sawa ......
Ukizaliwa MWANAMKE usisite kunitafuta. Mushobozi wangu una matawimatawi, utakukuna vizuri sana
 
Energy cannot be created nor destroyed it just transform, binadamu ni Energy kwa hyo huenda ukifa energy ina transform.
Energy ina transform ila hazaliwi. Mbona mambo yanajikanganya tena. Mana mwili huo unarudi ardhini kisha unarudi hai vp unasema anakuwa energy tena.

Prove anakuwa energy
 
Back
Top Bottom