Je wajua hili kuhusu uume wa nyau..?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
281,350
731,810
20240810_200400.jpg

Unajua kwanini (nyau) Paka wakijamiiana nyau wa kike hulalamika sana?

Sababu ni hii ...
Paka dume uume wake unakama miiba milaini ambayo mwanzo huukuna uke wa paka jike na kuleta raha sana , lakini kadiri anavyo endelea na akikaribia kufika mshindo huwa inaanza kutoka kwenye ulaini na kuwa aina fulani ya ugumu, hivo wakati tendo linaendelea katikati ya starehe yao miiba ile huanza kumuumiza.

Paka jike huanza kuhisi utamu uliochanganyika na maumivu makali ndani yake😕..je huu uume ungekuwa wa binadamu ingekuaje nasoma comment.

Follow @_amutiqun
👸😁👐.
 
JView attachment 3066338View attachment 3066338

Mkuu baada ya likizo naona nyuzi zako zimekuwa mtambuka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom