Je wajua haya mambo yanashangazaa?

KABIDO

Member
Oct 26, 2015
74
117
Unatoa Makamasi Kwa Kutumia
Kitambaa Halafu Unarudisha Kitambaa
Mfukoni, Ili Iweje?
... Unanunua Ndizi Mbivu Halaf Unaosha
Vizuri Ganda La Nje Then Unamenya
Unalitupa Ganda, Uliosha Ili Iweje??
...
Unanawa Mikono Vizuri Kwa Maji Ya
Uvuguvugu Kisha Unajifuta Na Tissue Halafu Unakula Chakula Kwa Kutumia
Kijiko Mwanzo Mwisho, Uliosha Ili Iweje?
..
Hutaki Kusuuza Kikombe Kwa Maji Ya
Bafuni Ukiamin Ni Uchafu Wakati Maji
Hayo Hayo Unatumia Kupigia Mswaki, Nina Mashaka Na Wewe!
..
Unanawa Bila Sabuni Unapotaka Kula
Halafu Unakuja Kunawa Na Sabuni
Baada Ya Kula, Kwani Ulikuwa Unakula
Mavi?? ...
Anakata Mti Anategemea Karatasi
Halafu Juu Ya Karatasi Anaandika
"USIKATE MTI"
..
Unampa Mimba Binti Wa Watu Akikuambia Anamimba Yako
Unamuuliza..Iliingiaje?? Hebu Kuwa
Serious Bwana
Hembu Ongeza ya kwako
 
"Unatoa makamasi kwa kutumia kitambaa halafu unarudisha kitambaa mfukoni" ni afadhali huo uchafu unauficha mfukoni kwako. Mwingine anafuta kwa kutumia vidole halafu anasalimia watu kwa vidole vilevile!
 
"Unatoa makamasi kwa kutumia kitambaa halafu unarudisha kitambaa mfukoni" ni afadhali huo uchafu unauficha mfukoni kwako. Mwingine anafuta kwa kutumia vidole halafu anasalimia watu kwa vidole vilevile!
Hivi unaweza kusalimia kwa vidole au umevwangilanya Kwekwekweeeeeeeee kua serious basi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom