Je, wachezaji gani wa Simba wanaweza penya 11 ya Yanga?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
18,589
28,504
Wakuu Kwa jinsi kikosi kizito Cha Yanga ( Real Madrid ya Africa) kilivyoshonwa Kwa mastaa wazito na kukifanya kiwe kikosi hatari Kwa ukanda huu wa CECAFA na kusini mwa Jangwa la Sahara

Kwa mfano viongozi wa Yanga kama wakiamua kuongeza wachezaji wa pale Simba, Je ni wachezaji gani wa Simba wanaweza fit kucheza Yanga??

Wachezaji wa Simba wanaweza kucheza Yanga
1. Camara (goalkeeper)
2. Deborah Fernandez
Je, ni wachezaji gan wa Simba wanaweza fit kucheza Yanga?

JamiiForums-1891101377.jpg

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom