Je wa ni mkenya unafanya biashara ya Mazao like mahindi mpunga na mingine from Tanzania njoo tuyajenge!

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,118
8,763
Nimesikia taarifa ya Waziri wa kilimo Jana Bungeni akizungumzia vibari Kwa wafanya biashara wa mazao kutoka Tanzania anadai hajafunga mipaka ila ametoa mashariti yafatayo Kwa wageni

Wasajili kampuni Tanzania na walipe Kodi

Au waingie joint venture na watanzania through kampuni za wazawa Ili wakate leseni na kufanya biashara.
Currently natafuta Business partner ambae tunaweza FANYA wote biashara ya Mazao through my company please km upo hapa njoo Dm tuyajenge I can sell even same of my share to you so that we can expand the territory of business operation.

Karibuni sanaaaa!
 
Tupe personal experience kwenye hii biashara, na wengine tupate experience ya mazao bei na vitu kama hivyo vikienda kenya
 
Back
Top Bottom