Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 733
Miaka ya karibuni kumezuka hombwe la kufata mkumbo kutoka magharibi (utandawazi) ktk nyanja nyingi.
Leo hii nitazungumzia nyanja moja tu ya urembo.
Utaona wadada wetu wanajiremba na kujirembua kwa kasi ikiwemo kubadilisha maumbile yao kama MAKALIO.MATITI.NYWELE .MAKUCHA NK. na hata rangi zaoza ngozi bila kujua kuwa kuna madhara makubwa yanayopatikana kwa kutumia zaido haya mambo ya kiurembo.
Mfano kwenye nywele kuna siku niliangalia makala moja inazungumzia namna ya hizi nywele zinazouzwa madukani .e bana kumbe nyengine ni za binaadamu halisi kutoka kule India na Brazili .watu wanaenda eti kutoa sadaka ya nywele ktk hekalu moja la kidini .kumbe wale jamaa bana wanaziuza zile nywele.hapa nawaza tu je ukizivaa zile nywele ni sawa na kukodishwa nywele za binaadamu mwenzako na je hakuna madhara yoyote???
Sisi wanaume ni wahanga wakubwa wa haya mambo maana unaweza kupitisha ulimi mwilini ktk kusex kwa lengo la kumfurahisha mwanamke kumbe hujui unameza ma cream na madawa mbali mbali anayojipaka mwilini mwanamke.nawaza je ukimeza hapa huwezi kupata cancer ?
Mm kwa sasa nimeamua kubaki na mwanamke mwenye asili yake najipigia kama vile nakula kuku wa kienyeji saaafi.unakuta amejipaka mafuta ya nazi ambayo hata ukiyaramba hakuna tabu.nakuachia wewe hawa wachumba wenye uzuri wa ku download.