Je, Utaratibu wa kupata kisimbusi kipya cha Startimes unakuwaje?

Bakalalwa

JF-Expert Member
Oct 18, 2024
457
781
Habari wadau mko njema kabisa Natumaini wazima kabisa,

Basi Sasa kama kichwa cha Uzi kinavyosema naomba kujua utaratibu upoje wa kupata kisimbusi kipya yani kinga'muzi cha Startimes upoje, maana hiki kilichopo kimearibika hakiwaki Tena, kimenunuliwa na kuanza kutumika toka mwaka Jana miezi ya mwishoni,

Kimekuja kuzima week hii siku ya Ijumanne muundo ni aina ya Sasa hivi vile vidogo ambavyo havina kadi, na Anntena yake ni ndogo sana!?
 
Back
Top Bottom