Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,356
- 13,376
Salale
Wanawake Mungu anawaona, acheni visa chezeni game fair, sio poa unatumia mchezo wa kujiviringisha sana na mpapaso kama wote mwanzo wa mechi hadi mwisho wa mechi mgongo massage mwanzo mwisho, mtu unagugumia maraha na mautamu hadi mwisho. Khaa sio poa.
Baada ya hapo mnatumia hio fimbo kutaja maombi ya fedha za kufuru, sasa unatarajia mimi nikisha maliza ntabaki na mzimu wa Ile mipapaso na mviringo wa miuno, samahani mimi ni legend nikipata kwako ntapata na kwa mwingine.
Huyu demu wa Kihaya ni mnoma sana anajua anajua hadi hatari, ila baada tu ya kuonesha yupo kifedha nimemwambia vipi ushiriki wangu ni mbovu? amejibu Niko vizuri, nikamaliza wewe sio wa kwanza kama vipi mbwai na iwe mbwai, imagine nimempa bata kama lote, kanywa Jack Daniel 2, Kuku Mzima Kwa awamu mbili halafu tunaachana mchana the next day Nampa pesa ya lunch elf25 anaikataa.
Nimemwambia nenda urudi badae tukutane .....karibu na mvita lodge.
Potelea mbali mipapaso ya mwanzo mwisho ntamfundisha Mmeru wangu.
.
Tuyashinde majaribu yasiyo ya lazima. Niko kwenye maombi ya kumsahau huyu shetani mtamu.
Wadiz na kisa cha hodari wa mipapaso.