Je unaweza pata mahusiano yanayoeleweka kupitia Dating Site?

Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
6,343
10,794
Basi bwana, mimi ni ke Nikasema nimekua single miaka 3 ngoja nijiunge dating site nione kama naweza pata mpnz.
Looooh....Najutraaa

Hivi unaweza pata mpnz wa na kuanzisha mahusiano kwenye dating app.?. Maana kila mmoja anataka kupiga na kusepa.

Je wapo waliopata wampenzi na mahusiano kwenye dating app?

Asante
 
Kwani hutongozwi huko mtaa kwenu au bado upo kwenye machaguzi
 
Basi bwana, mimi ni ke Nikasema nimekua single miaka 3 ngoja nijiunge dating site nione kama naweza pata mpnz.
Looooh....Najutraaa

Hivi unaweza pata mpnz wa na kuanzisha mahusiano kwenye dating app.?. Maana kila mmoja anataka kupiga na kusepa.

Je wapo waliopata wampenzi na mahusiano kwenye dating app?

Asante
Unatumia jina gani huko tinder?
 
Kikubwa ukimpata mtu usimkazie sana,kuna wadada wana vigezo kama waganga wa jadi
Na kama yupo serious asianze na njaa za mara gesi imeisha, mdogo wake kameza shoka nisaidie hela ya hospital. Hapo lazima mwana atake kugonga nakusepa.

Lakini akiwa decent hana vibomu wala nini anapata decent guy. Mie demu akianza vibomu nampa nikimla ndio bye bye
 
Wadada wengi wanaoenda kutafuta wapenzi huko huwa wanatarget kupata wazungu ili wapate urahisi wa kuvuka boda, anyways...

Jibu ni kwamba zamani ilikua uhakika ila siku hizi wanaume wengi hawapo huko coz entry ilishaharibiwa na wanawake wenyewe kwa maana wanawake wengi wanaopatikana huko ni wale wa kujiuza kwahiyo wanaume serious huwezi wakuta huko.
 
Point mkuu
 
Mimi sitafuti mzungu jamani...ila wanataka kugonga na kusepa...
Yaani casual sex..

Back
Top Bottom