Je, unaweza kuajiriwa tena serikalini endapo uliachishwa kazi?

Kuna mambo mawili inabidi uyatofautishe.
1. Kufukuzwa kazi
2.Kufutwa ajira.
Barua yako ikisoma kufutwa ajira hapo huajiriki tena. Hutalipwa tena salary na serikali na wakati mwingine utanyang'anywa na vyeti kabisa.
Kufutwa ajira/kazi mara nyingi lazima Rais au Katibu mkuu Kiongozi aridhie issue yako kuwa ni big issue.
Kama uliacha kazi au ulifukuzwa unaajirika tena ilimradi tu upate barua/kibali cha utumishi wa umma. Hata taasisi ile ya awali waweza kuajiriwa.
H.R asiyepitia class hapa nawakilisha
 
Nilipangiwa kituo cha kazi baadae ajira zikasitishwa kwa muda usiojulikana,

Baada ya mwaka wakapiga simu kurudi kituoni ajira zimerudishwa kipindi hicho nilikuwa taasisi moja nafanya intern kwa hiyo nikaomba nisiripoti ili nimalizie intern ingawa mwajiri hakujibu barua yangu.

Baada ya miezi miwili mshahara ukatoka na salary slip ikatumwa kwa mkuu wa kituo.

Nikaenda benki sikukuta hela.

Je nikirudi kwa mwajiri atarudisha ajira yangu?

Sina hakika Kama kwenye payroll nimeondolewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uliingizwa kwenye payroll na hukuhudhuria kazini basi data zako zipo Hazina.
Wamekuondoa na kukufuta kazi kama mtoro.
Hapo ukiniambia muda naweza kukushauri jambo

HR mzooefu.

Ni miaka mitatu sasa tangu 2017 April, barua niliyomwandikia mwajiri nilimwambia asimamishe ajira yangu kwa muda wa miaka mitatu ili nikimaliza internship nirudi kwenye ajira yangu.

Sema hakunijibu na Mimi nikaona intern inalipa vizuri kuliko ajira ndiyo maana sikufuatilia.

Internship yangu imeisha na malengo ya internship yametimia nilichokuwa nakitafuta nimekipata ambacho ni usajiri wa fani yangu.

Wadau wanasema haiwezekani kuajiriwa tena mpaka nirudi kwenye ajira ya mwanzo maana vyeti vyangu tayari vimeshapata check No.

Hapa ndiyo nawaza Je niende kwa mwajiri au nianzie wapi?

Nenda Ofisi ya Utumishi wa umma Dodoma kaangalie status yako. Kule watakwambia what's on you!
Ungemwendea mwajiri pia angekupa jibu ungejua umewekwa kundi lipi.
Wewe unaajirika kabisa but suala la kurudishwa kazini sio rahisi kama unavyotaka maana huna barua ya majibu ya mwajiri wako.
 
Shukhurani kwa ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Jamaa namjua... sijui ana nn! Hz kazi ktk Taasisi za Umma, anafanya... anaacha... anapata tena Taasisi nyingine... anafanya.... anaacha...

Nimemuhesabia kashafanya Taasisi 4 mpk sasa na hv naandika kashaacha Singida huko Halmashauri.... yupo tu Dsm anazunguka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom