Je, unasumbuliwa na mikunjo usoni, makunyazi na matobo usoni?

samira cute

Member
Oct 29, 2016
12
5
Leo nakuletea bidhaa nzuri kabisa yenye kuifanya ngozi yako kuwa yenye afya
na imara zaidi
sio nyengine bali ni "NOVAGE" ambayo ukiitumia inavyotakiwa basi utakuwa umeifanya ngozi yako kuwa nzuuri
na yenye kupendeza siku zote
hii NOVAGE ni seti iliyojumuisha bidhaa 6 zenye kazi tofauti kabisa nazo ni;-
{cleanser-toner-eye cream-essence or serum-day&night cream}.

Je tunazijua kazi za Novage set?

1-CLEANSER hii ni sabuni ya uso
inasafisha uchafu wote usoni, kuondoa makeup n.k.
Roanisha uso wako na maji, chukua pamba iroanishe kidogo kisha weka cleanser usafishe uso vizuuri
Safisha kutoka chini ya shingo juu na kwa circular motion. Ukimaliza nawa uso na maji kutoa cleanser.


2- TONER hii pia ni ya kupaka kwa pamba, iroanishe kidogo kisha weka matone machace ya toner
(usijikandike) kisha paka usoni kwa pamba hii inaziba vitundu vya ngozi ambavyo vinakua wazi baada ya kusafisha uso na cleanser pia inamalizia kutoa mabaki yote ya uchafu yaliyosalia, ukimaliza usinawe iache iingie kwenye ngozi.


3-EYE CREAM weka kiasi kidogo kisha paka maneo ya kuzunguka macho yako kwa kutumia vidole vyako vidogo ngozi inayozunguka jicho kwani ni laini na delicate ndo mana imetengenezewa cream yake pia makunyanzi huanzia maeneo ya pembeni ya jicho so inasaidia na pia kwa wale wenye alama nyeusi machoni.

4-ESSENSE or SERUM hii utaweka kiasi mkononi (km matone mawili
tu) na kujipaka usoni, hii inatibu ngozi kuanzia ndani kabisa kwenye ile layer (tabaka) ya ndani,pia inaandaa ngozi kuipokea cream yako itakayofuatia ukisha paka subiri kdg km dakika 1 kisha ndo upake cream yako inayofuatia.


5- DAY CREAMbaada ya serum km ni mchana utapaka day cream,
hii ina SPF (Sun protecting factor) kwaajili ya kukukinga na jua lisiharibu ngozi yako,weka kiasi mkononi (usijikandike) kisha ipake kuanzia shingoni kupanda juu in a circular way au km unaanzia ndani ya uso kuelekea nje ya uso (ukipaka product kwa kushusha ngozi chini tunazeesha uso kwani ngozi inawahi kushuka) kuwa makini anza chini
kuelekea juu
.


6-NIGHT CREAM Kama ni usiku baada ya kupaka serum utapaka night cream, utaweka vitone vichache mkononi kisha paka (kama kawaida usijisiribe nyingi) hii inasaidia kuipa ngozi moisture na i-relax baada ya kuwa exposed siku nzima ili ibaki kuwa na ile asili yake
.


Unasubiri nini mwenzangu usingojee kuhadithiwa jipatie bidhaa bora kabisa kutoka ORIFLAME kwa kuiboresha ngozi yako kwa njia za asili kabisa
,

Utapata hii kulingana na umri wako!

Ukihitaji njoo whatsapp 0629493754

Bei yake 242,000 ila kuna punguzo kubwaaaaa] kwa wateja 10 wa mwanzo
 

Attachments

  • 1488042419814.jpg
    53.2 KB · Views: 140
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…