JE UNA MCHEPUKO UMESHINDWA KUACHIKA?JE
UMEJARIBU KUACHANA NA MICHEPUKO UMESHINDWA?
USIHANGAIKE DAWA YA KUACHANA NA MICHEPUKO
IMEPATIKANA SASA SOMA HAPO
Huku. Ukiwa umekunja uso, muangalie mchepuko
machoni kisha kwa
hasira sema hivi;
1. Yaani we huniheshimu kabisa. Mi naongea we
unaendelea kupumua. Hiyo ni dharau kubwa sana,
basi bwana nenda kwa unaemheshimu
2. Dah kwa hiyo siku hizi unakunywa koka yenye majina
ya wanaume wengine, tafadhali nenda salama
kamfuate mtu wako
3. Hee umeweka wimbo wa Diamond kwenye simu,
lazimu kuna kitu kati ya we na Diamond sikutaki tena
4. Unajua nakushangaa, nimekupigia tu na simu ilipolia
mara moja tu ukapokea, inamaana huna kazi ni mtu
unashinda na simu tu. Mi watu wavivu siwawezi
kwaheri
5. Kila siku nakwambia napenda chakula kuwa cha moto
wewe unaenda kuninunulia icecream ya baridi, hiyo ni
dharau sikutaki tena
6. Nimegundua huwa hutoi sadaka kanisani, sasa kama
Mungu mwenyewe unamdhulumu mimi si ndio utaniua
kabisa. Sikutaki tena.
7. Unajua we mwanamke wa ajabu sana, mara zote
nikikukaribia unacheka unamcheka nani? Nenda kwa
hao wasiochekesha
..YANI HAPO MSIPOACHANA APIGWE TU..MANA HAMNA
NAMNA NYINGINE SASA