tuambie mkuu kafanya yepi? maana bungeni simsikiiKuna mbunge wetu wa Morogoro mjini mh Azizi abood, aisee Huyu Jamaa Ni JEMBE ijapokuwa ameua viwanda
jimboni kwako wapi? na wewe ulitarajia afanye nini?Huku jimboni KWANGU hakuna mbunge, tulichagua karani wa mahakama maana kila Siku ni wakili, mara akakimbilia TLS, yaani hakuna anachokifanya, muda nao unakata mbio kweli kweli.
kauli ya mbunge wa viti maalum kutoka ccm lucy leo imeniongezea shaka, anakwambia wanaoikosoa serikal mwisho wa siku ubunge utaisha watarudi majumbani maisha yaanze kua magumu. kwan wanategemea ubunge hautaisha? kuikosoa serikal kunaingilianaje na kurudi nyumban na kua na maisha magumuu?? au ndo kazi ya TISS....hawa jamaa, hili bunge halitupeleki popote sina imani nalo kabisaKwa wana jukwaaa wote naomba tushirikiane.
..
..Inawezekana wakati unakwenda kwa kasi sana ,lakini watanzania ,na hasa waliopewa nyazifa za kuongoza kama wabunge wasilielewe hili.
.Mimi binafsi nikiangalia namna bunge na wabunge wetu wanavyofanya naona kama hawawezi kutusaidia sana katika kuleta maendeleo Tanzania kwa wakati mwafaka ambao watanzania wengi wanatarajia.
Kuna mambo kadhaa ambayo ninayaangalia;
(1)wabunge wengi hawana ushirikiano na wananchi wao waliowachagua
.Baada ya uchaguzi kumalizika niambie mbunge wako aliwahi kuja jimboni kwako kukutana na wananchi mkamweleza mnataka afanye nini kwa ajili yenu? Ambacho kikifanyika kitawasaidia kuleta ajira yenye malipo mazuri,elimu nzuri,Afya na Ulinzi?
(2)Kama alikuja ,Je! Hakuiishia kuikosoa Serikali bila kutoa maoni ya kupunguza kero za wananchi wake?
(3)Hivi ni wabunge wangapi ambao wamepeleka mapendekezo ya miradi ya maendeleo kwa wananchi wao hadi sasa?
(4)Nina imani kwamba Mh.Rais Magufuli anasubiri wabunge watakao peleka mipango madhubuti ya kimaendeleo inayoweza kutekerezeka na kuwasaidia watanzania ,ataipokea na kutoa pesa kwa sababu ,hawezi kutoa pesa kama haziendi mahali watu wanafanya kazi.
Tuliyomtuma haja yapeleka mkuu, kang'ang'ania uwakili, urasi wa TLS, next time ni vizuri chadema ituletee mwingine siyo HUYU tena.jimboni kwako wapi? na wewe ulitarajia afanye nini?
Kuna mbunge wetu wa Morogoro mjini mh Azizi abood, aisee Huyu Jamaa Ni JEMBE ijapokuwa ameua viwanda
Wabunge wengi wapo kwa maslai yao binafsi na vyama vyao.
Wabunge wa viti maalum ni mzigo kwa taifa kwani ni wachache wanaojenga hoja za msingi, wengi wao wapo kwa ajjili ya kuonesha uwepo wa jenda. Swala hili halina umuhimu kiuchumi kwani wanalipwa bila ya kufanya kazi, Hivyo napendekeza zifutwe.
Pili, wabunge hasa wa ccm waache ubaguzi wakiitikadi, pia serikari hiache kubagua kupeleka pesa za maendeleo kwenye majimbo ya upinzani.
BUNGE HILI HALITATUTOA HAPA TULIPO.
Mitaji haijalipa kivipi?sio wewe tu huwaelewi wamepoteana yaani full kupagawa trip hii mitaji haijalipa
Sasa hao wananchi ambao mbunge wao ,ndiyo hivyo tena haeleweki ,watasaidiwa na nani kuwasemea? Ili maendeleo yawafikieWabunge hawa wengi ni bure kabisa hakuna jipya walichofanya.
Mfano, wananchi tunapanda daladala/ usafiri wa umma eti wao leo wanalalamika kuwa magari wameyaacha, hoteli wamehama wanaishi nyumba za kawaida za.kulala.wageni.
Na wakati vijijini tumekua nao , tumelala nyumba za jamii moja kabla hawajawa wabunge leo wanasema ni; shida kutumia usafiri wa umma?
Kulala nyumba za wageni badala ya hotelini ni mateso?? Wengine hata hawa kuwa na viatu wakati tunasoma nao shule moja!!
Wengine wanasema TISS haina umuhimu?? Kweli, hawa siyo wabunge tuliowatuma aiseeeeh!
Aiseeeeh, hili bunge hata likifutwa tusiwe nalo maisha bado yanaenda na kuwa labda hata mazuri kuliko hili bunge uchwara kula hela zetu na v8 na ufisadi juu kwa mgongo wa ubunge.
Give me a break yaani ni feki kabisa jimboni kwetu.hata hatukumbuki jina la aliyeshinda na cha kushangaza ametoka vyama vya umoja eti A.W.A.K.U.