Je umri gani Serengeti boys ....Wanakuwa wakubwa ....

AL SADY OLPLANER

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
294
211
Wanajamvi hili la sport naombaa tuwekanee saawa kuhusu huu umrii wa wachezaji wa serengetii boys .....kweli tanzania kijana wa umri wa miaka 17 anakuwa hiviii..... Jaman hebu 2we wakweli msema kweli nimpenz wa mungu...hiv hapa kuna under 17 kweli? Tz bana hahaha cheka kwadharaaaaaaaauuu..SIO BASHITE TU HADII VYETI VYA KUZALIWA TUVIKAGUEE....KWA SERENGETI BOYS.

 
Hao vijana wako U17 labda hamfuatillii habari za michezo.Mambo ya kutumia vyeti vya kuzaliwa yalishapitwa na wakati.Majuzi tu CAF walikuwa nchini.kuwapima watoto hawa kipimo cha Umri (MRI?),wote wako 17.Miili ya mazoezi hiyo.ISSUE kubwa ilikuwa je wakati wa mashindano wote watakuwa bado U17?TFF walisema walishalifanyia kazi watoto wote watakuwa bado 17 cum May,2017.Go go Serengeti boys.Mungu ibariki Tanzania
 
Mwili wa mazoezi ndio unampelekea kijana kijana wakiume kuonekana anamika 21 achaa uongoo pia hivyo vipimo sidhani kama vitakuwa vimepimaa sawa na sizani kama.vishafika africa....hii....wangekuwa wakike sawa lakini wakiume achanganyee kukomaaa kiasi hichoo.....
 
hata wew kipindi unamiaka 17 ulikuwa hivyooo
 
Al Sady inaonekana wewe si mfuatiliaji wa habari za michezo ila una ubishi usio na utafiti.Kilichoitoa timu ya Congo Brazaville U17 ni mchezaji wao Langa Lesse Bercy kushindwa kwenda CAF Cairo kuchukuliwa vipimo vya MRI na madaktari wa CAF (vipimo vipo Africa na hata Tanzania vipo).Hii ilitokana na Tanzania kukata rufaa dhidi ya Umri wa Congo17.Usipende kubishana na Sayansi.Na huko Gabon MRI tests zitakuwa zinafanyika randomly wakati wa mashindano
 
Jibu zuri muda sahihi
 
Mtizame Rooney waqt ana miaka 18 yupo Everton unaweza kupata picha sakata hili la umri linafuatiliwa sana mwanzoni mwa miaka ya 1990 timu za Ghana za vijana walikuwa wanatwaa sana makombe ya dunia ya hizi U. Watu wakafanya utafiti kumbe vilikuwa ni vijeba nyembe nyingi tu zimemaliza kung'olea visiki vya videvuni sasa sidhani kama TFF wanaweza kurudia makosa ya nurdin bakari.
 
Watu wengine wanaubishi usiokua na msingi. Ila angekua mzungu wangekubali. Go serengeti go
 
Haaaaaa unaitaj kuingia darasan usome zaid kwa nn baadhi ya watu wanakuwa na umri mdogo lakin wanaonekan wakubwa na wengine unakuta ni wakubwa ki umri but wanaonekan wadogo mfano mzur ni mesi unajua ana miaka mingap? Au pogba iyo ni mili yoa ndo inawafany waonekan ivyo but ki umri ni watoto sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…