kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,170
- 5,619
Hello bosses, hv karibuni nimeanza kutumia AirTM kupokea malipo mbalimbali kutoka nje ya Tanzania sababu niliona wanasupport withdraw methods nyingi za Kitanzania ikiwemo banks na mitandao ya simu.
Lakini changamoto ni kwamba withdraw requests zangu zote zinafail kutokana na kuchukua muda mref, na wao system yao ilivyo ni kwamba withdraw request ikichukua zaidi ya 12 hrs (kwa banks) au 9hrs (kwa mobile) ina-expire.
Kama kuna mtu alishawahi kutumia AirTM na kufanikisha kuwithdraw ukiwa Tanzania naomba tufahamishane ulitumia njia gani kufanikisha hilo.