Je, umesikiliza wimbo wa Mr Kleb, Gwogwongwo (Remix)?

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Feb 9, 2019
1,121
1,366
Hii kama umeshasikiliza hii nyimbo vizuri, ni kama jamaa kaiba kwenye nyimbo zetu za zamani sana.

Sasa kila nikijaribu kuzivutia kumbukumbu hapa nashindwa kukumbuka zilikuwa ni nyimbo za nani na zilikuwa zinaitwaje hivyo kama kuna mwenye kukumbuka anikumbushe tafadhali.

 
Back
Top Bottom