Ben-adam
JF-Expert Member
- Jun 2, 2023
- 1,031
- 2,280
Wakuu,
Kuna kitu huwa najiuliza sijawahi kupata majibu ya kuridhisha!
Mimi ninachojua; ubongo upo kichwani, uwe ni unaohusika na mambo ya hiari, yasiyo ya hiyari, upo Kichwani.
Swali: kinachofanya kiwiliwili kuruka ruka baada ya kukitenganisha na kichwa ni nini, matendo yanayofanywa muda huo yanaongozwa na nini ikiwa kichwa kimeondolewa?
Mimi sielewi!