Je tutalajie yapi baada ya ushindi wa Trump huko USA

Killing machine

JF-Expert Member
Jul 24, 2022
1,976
2,865
Habari za Sasa hivi wakuu?

Hatimaye baada ya kusubiliwa kwa mda mlefu leo hii Trump kachukua kiti

na sio mda anaingia kulitumikia taifa kubwa zaidi duniani hasa kwenye maswala ya uchumi, technologies,

bilashaka taifa Hilo ndilo taifa linalo ikimbiza dunia kwa nafasi kubwa Sana kiasi kwamba USA president anachukuliwa Kama raisi wa dunia nzima

swali langu Ni kwa wale wajuzi,manguli,na wachunguzi wa Mambo ya kisiasa hasa wanao elewa mambo haya

kwa malefu na mapana kuhusu dunia yetu nasiasa za ulimwengu

Kwamba je!
tutalajie Nini baada ya bwana Trump kulejea Tena madarakani?

nikipi dunia itakipoteza/kukiongeza?

je tutalajie Nini huko.. ucraine,rusia,Irani, Sudan,drc, Israel na parestina?

kalibuni kwa mbadara....
 
Back
Top Bottom