Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Jan 9, 2022
1,289
2,822
Je tuendelee kuamini Upinzani haiwezi kuongoza Nchi ?

Je tuendelee kuamini miradi ya hayati Magufuli haina manufaa kwa taifa kama tulivyoambiwa awali na sasa tunaambiwa kulikuwa na mkono wa ma Rais wa nyuma ?

Je tuendelee kuamini CCM inatuongoza katika njia sahihi kama wanavyodai ?

Je tuendelee kuamini katika katiba tuliyonayo ?

Je tuendelee kuamini Tanzania tunapendwa sana mpaka tunapewa misaada na mikopo yenye masharti nafuu ?
 
Je tuendelee kuamini kama CCM watachia madaraka kwa njia ya sanduku la kura?
 
Back
Top Bottom