N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,362
- 10,806
Baadhi ya nchi ikiwemo Rwanda walishapiga marufuku nguo za mkono wa pili...Je Tanzania hatuwezi kuiga mfano huu wa kuvaa nguo kuu kuu walizovaa mabeberu...huku nyingine wakitapikia na kukojolea...je tufanyeje...what is the economic implication kama tukiamua...wadau leteni mawazo tupate suluhisho. Je ni kwamba Hatuna viwanda...je ni kwamba nguo tunazozalisha ndani hazitoshi...