Je taasisi za PURA, OCRI ,TAEC na Tutor II zinalipa vizuri

chetejr

Member
Jun 15, 2022
8
3
Masaa wana jamii ni wapi kuna maslahi mazuri ya malipo/kipoato (mishahara na posho) kwa ngazi ya degree taasisi za serikali hizi
1.PURA.....As geophysics
2.Ocean road Hosp......as medical physicist
3.TAEC .......as radiation safet inspector
4. Government college ...... as tutor
 
Mnachoferi vijana wa sasa ni kutopenda kazi na akili yote ipo kwenye pesa tu.

Fanya kazi ile ambayo una passion nayo, pesa ni matokeo tu, huwezi kuyajuwa maslahi ya taasisi yoyote kama haupo ndani.

Kuna watu wanalipwa mshahara laki mbili tu na wamejenga na watoto wanakwenda shule.
 
Mkuu mshahara wa laki mbili kujenga utakuwa na malupulupu mengi au utakuwa mwizi tu laki mbili ukiwa na familia tu mwezi utoboi unapataje pesa ya kusave?
 
kwa uzoefu wangu wa miaka mingi sana kwny Chama, Serikali kuu, Serikali za Mitaa na mashirika ya Umma naona utaingia Mkenge vibaya mno kama ndio style yako ya kujua Taasisi zilizo njema

kuna Watu wapo Halmashauri hawapo radhi kuhamia BOT

kuna watu walikuwa Shirika la Masoko Kariakoo hawakutaka kuhamia Wizarani ( Wizara ya Viwanda na Biashara)

kuna Taasisi zina majina mazuri na zina hadhi sana ukivaa Tishert zake barabaran lakin wafanyakazi wake wengine hovyo tu

mara nyingi ubora wa maslah unategemea kitengo ulichopo sio Taasisi

hakuna ofisi mbaya kwa wote na hakuna ofisi nzuri kwa wote

Mlinzi wa Bandarini anaweza akawa ana maisha mazuri kuliko Afisa Utumishi
 
Kitengo kina mata zaidi zingine ni mbwembwe...halafu kazi nzuri ni zile za field sio za kukaa ofsini tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Masaa wana jamii ni wapi kuna maslahi mazuri ya malipo/kipoato (mishahara na posho) kwa ngazi ya degree taasisi za serikali hizi
1.PURA.....As geophysics
2.Ocean road Hosp......as medical physicist
3.TAEC .......as radiation safet inspector
4. Government college ...... as tutor
PURA
 
Jf imeingiliwa na wananchi kutokea Fb. Mtanzania wenzenu ansomba Msaada..wa ushauri. Kinachojibiwa mungu ndiye anajua. Pia someni mada jamani na mumpe jibu sahihi​

kwa uzoefu wangu wa miaka mingi sana kwny Chama, Serikali kuu, Serikali za Mitaa na mashirika ya Umma naona utaingia Mkenge vibaya mno kama ndio style yako ya kujua Taasisi zilizo njema

kuna Watu wapo Halmashauri hawapo radhi kuhamia BOT

kuna watu walikuwa Shirika la Masoko Kariakoo hawakutaka kuhamia Wizarani ( Wizara ya Viwanda na Biashara)

kuna Taasisi zina majina mazuri na zina hadhi sana ukivaa Tishert zake barabaran lakin wafanyakazi wake wengine hovyo tu

mara nyingi ubora wa maslah unategemea kitengo ulichopo sio Taasisi

hakuna ofisi mbaya kwa wote na hakuna ofisi nzuri kwa wote

Mlinzi wa Bandarini anaweza akawa ana maisha mazuri kuliko Afisa Utumishi
sahihi mkuu
 
H
Ndio mwisho wa uwezo wako kufikiri? Na siri ni kwamba kama unatamani kuwa tajiri sahau kuhusu kuajiliwa, dunia nzima hakuna mfanyakazi tajiri.
Hili dhana ya kuwa hakuna mfanyakazi tajiri ni upotofu mkubwa wapo wengi wameajiriwa na ni matajiri mbona
 
Mnachoferi vijana wa sasa ni kutopenda kazi na akili yote ipo kwenye pesa tu.

Fanya kazi ile ambayo una passion nayo, pesa ni matokeo tu, huwezi kuyajuwa maslahi ya taasisi yoyote kama haupo ndani.

Kuna watu wanalipwa mshahara laki mbili tu na wamejenga na watoto wanakwenda shule.
Passion my ass , passion doesn't put food on the table
 
Back
Top Bottom