Je, sheria kuzuia raia kumiliki silaha ndio nguvu ya wasiojulikana kuteka watu kwa urahisi?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
5,771
14,670
Utekaji ni kitendo cha uwezo mkubwa maana kinatumika na silahaa za moto ili kukabiliana na endapo kutatokea ubishani kati ya muhusika au wananchi kwenye tukio.

Ila cha kushangaza watekaji waliopo hapa tanzania ndio wenye matumizi ya vifaa hivyo ukilinganisha si rahisi nchi kukupa silahaa hiyo.

Kwa nini sheria imembana mwananchi kudanganywa kuwa ni salama wakati usalama unaonekana umepewa kwa wale walio matajiri na wasio wapinga serikali.

Mifano mingine magari yanayo tumika ni magari ambayo ni uniform identity ambazo serikali au vyombo husika hutumia au sehemu za idara utumika. Kwa nini uogopwa na watu.

PIA SOMA
- Special Thread: Taarifa za Watu waliopotea au kuchukuliwa na “Watu Wasiojulikana”
 
Kumfata mtu kwa mtindo wa hapa nchini umejengwa na sheria ambazo zina manufaa kwa sehemu usika husani kwa wale wanao onekana kugusa sehemu fulani.

Kwa mliotembea kwenye nchi ambazo sheria ya silaha inaweza kumilikiwa ijalishi ni maskini au tajiri ili kujilinda uwezi kuona haya.ila ukisikia wanakuja ao tunao waita wasio julikana wanakuja hivi:

image.jpeg


Kwa nchi za kwetu sasa

napeepic.jpg
 
Back
Top Bottom