Je, Rostam Aziz anasahau kuwa Tanzania na Kenya ni tofauti kwani yawezekana kwa Kenya kumuona Rais na kuambiwa wekeza sio kutokufuata sheria?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,575
6,758
Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania (sina uhakika kama ni mlipa kodi maarufu!), Rostam Aziz amelalamika kuwa uwiano wa uwekezaji kati ya Wananzania na Wakenya sio sawa.

Alienda mbali na kutoa ushahidi wa kiasi cha dollar zilizowekezwa na idadi ya makampuni Tanzania na Kenya na kinyume chake.

Alisema mwaka 2017, alikutana na Uhuru Kenyatta Ikulu ya Nairobi, na kuruhusiwa kuwekeza Kenya kwenye biashara ya gas, lakini alikutana na vigingi vilivyomfanya hasitimize mpango huo.

Sasa je, alifikiri ni kama Tanzania kuwa ukimuona Rais Ikulu na kuambiwa endelea unafanikisha ombi lako kwani katiba ya Kenya na Tanzania ni tofauti.

Je, hivyo vikwazo au vigingi (obstacles) sio ndio sheria yao inavyosema?

Halafu hiyo gas alitaka kuchimba au kuitoa Mtwara?!

Rostam Aziz: Difficulties facing Tanzanians who want to Invest in Kenya

Businessman Rostam Aziz has said the relationship between Tanzania and Kenya is skewed, saying it is very easy for Kenyans to invest in Tanzania and the reverse for Tanzanians, urging the leadership to work on the imbalances

Rostam was speaking at a high level business forum that was hosted by Presidents Samia Suluhu Hassan and Uhuru Kenyatta in Nairobi on May 5, 2021.

"It is very easy for Kenyans to come to Tanzania to invest but the situation is different on the other hand and there are many examples. There are 530 Kenyan companies that have invested more than US $ 1.7 billion in Tanzania but only 30 Tanzanian companies have successfully invested in Kenya with an investment of only US $ 50 million. ”

"This relationship is not one that can build an economy between the two nations and if we fail to work on these challenges then we will not be able to achieve our goals," said Rostam.

According Rostam Aziz who was part of President Samia’s delegation on her state visit to Kenya, in 2017, he met President Uhuru who invited him to invest in Kenya but it has been a non starter since then.

"President Kenyatta asked me to invest in Kenya and asked me what I would like to invest in. I told him I saw an opportunity in gas. But it has been three years since and I am yet to get any replies on the investment which would have been worth $130 million,” said Rostam.

He added: If we do not build good investment relations between Tanzania and Kenya then the existing relationship will not last, I would like to emphasize that equality is needed for both parties so that we can grow the economy between the two countries," said Rostam.
 
Alitaka aachwe ajufanyie atakavyo kusa karuhysiwa na rais? Kule kila agency, or commission ar whatever ipo huru na accountable, haipangiwi na mtu bali taratibu na sheria zao.

Tofauti na kwetu unaweza poteza hadi mke, mume au mtoto kisa rais ameamuru.

Kule rais ni raia mwenye majukumu kwa mujibu wa sheria na katiba yao, no more no less.

Kwetu sisi rais ni mungu, rais ni uhai wako, rais ndiyo kila kitu
 
Kuwekeza Kenya tena kwa Tajiri mkubwa kama yeye Alitakiwa aanze kutembeza mpunga kuanzia ikulu mpaka mwisho. Kwahiyo uhuru alikuwa anamsilizia tu huyu jamaa mbona hajiongezi? Rushwa Kenya ni gonjwa la kitaifa.
 
Alitaka aachwe ajufanyie atakavyo kusa karuhysiwa na rais? Kule kila agency, or commission ar whatever ipo huru na accountable, haipangiwi na mtu bali taratibu na sheria zao.
Tofauti na kwetu unaweza poteza hadi mke, mume au mtoto kisa rais ameamuru.
Kule rais ni raia mwenye majukumu kwa mujibu wa sheria na katiba yao, no more no less.
Kwetu sisi rais ni mungu, rais ni uhai wako, rais ndiyo kila kitu
Kwahiyo ile kauli ya juzi ya jayden jukwaani ni ya kuipuuza tu au sio?
 
Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania (sina uhakika kama ni mlipa kodi maarufu!), Rostam Aziz amelalamika kuwa uwiano wa uwekezaji kati ya Wananzania na Wakenya sio sawa.

Alienda mbali na kutoa ushahidi wa kiasi cha dollar zilizowekezwa na idadi ya makampuni Tanzania na Kenya na kinyume chake.

Alisema mwaka 2017, alikutana na Uhuru Kenyatta Ikulu ya Nairobi, na kuruhusiwa kuwekeza Kenya kwenye biashara ya gas, lakini alikutana na vigingi vilivyomfanya hasitimize mpango huo.

Sasa je, alifikiri ni kama Tanzania kuwa ukimuona Rais Ikulu na kuambiwa endelea unafanikisha ombi lako kwani katiba ya Kenya na Tanzania ni tofauti.

Je, hivyo vikwazo au vigingi (obstacles) sio ndio sheria yao inavyosema?

Halafu hiyo gas alitaka kuchimba au kuitoa Mtwara?!

Sijui kwa nini anashambuliwa rostam kwa kusema ukweli
Hata Dangote alishindwa kuwekeza Kenya kwa sababu hizohizo
Screenshot_20210505-162711_1.jpg
 
Back
Top Bottom