Je, Rais Samia kufika Ngorongoro?

Anaweza akaenda Ngorongoro lkn ajiendaye kuambiwa neno la kimasai "TWAA" lenye maana ya (kafie mbele).
 
..anaweza kwenda na akakubali Wamaasai wabaki Ngorongoro.

..lakini kinachotakiwa ni kuwaelimisha na kuwawezesha ili baadhi wahamie maeneo mengine.

..tatizo Ccm wamezoea kutoa AMRI na kutumia MABAVU.

..suala la kuwahamisha Wamaasai linatakiwa kuwa shirikishi na endelevu.
 
CCM hawana tofauti na Bokoharam
 
CCM hawana tofauti na Bokoharam

..badala ya kuwa na DIALOGUE na Wamaasai serikali aliamua kufanya propaganda dhidi yao, na kuwanyima huduma za kijamii.

..hili suala limekuwa likufukuta kwa miaka mingi, na tangu Rais Samia aingie madarakani, Wamaasai wamekatiwa huduma za kijamii ktk hifadhi ya Ngorongoro.

..sasa hebu fikiria ni serikali ya aina gani inayowaondolea wananchi wake huduma za kijamii ikiwemo zahanati wanakotibiwa wanawake na watoto?

..Ni aibu kubwa sana kwamba vyombo vya habari havikuripoti kabisa unyama huo dhidi ya Wamaasai.
 
Anaweza akaenda Ngorongoro lkn ajiendaye kuambiwa neno la kimasai "TWAA" lenye maana ya (kafie mbele).
Kuna maandalizi lukuki yanaendelea Ngorongoro. Ngoja tuone kama atadiriki kufika kabla hajaondoka Arusha.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mkoani Kilimanjaro tayari kwa kuelekea mkoani Arusha ambapo ni Mgeni Rasmi kwenye Ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma kitakachofanyika kwenye kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) tarehe 28 Agosti, 2024.
Mhe. Dkt. Samia amewasili uwanjani hapo akitokea nchini Kenya ambapo alihudhuria hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Mhe. Raila Amolo Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), tarehe 27 Agosti, 2024
 
Wewe si ulisema haendi Arusha?🤣🤣

NB: kwa Taarifa yako Kuna maandalizi yanafanywa kumkutanisha na wawakilishi wa jamii husika kabla hajaondoka Arusha.
 
Kama ikitokea hivyo, kweli mama atakuwa amefanya jambo jema sana sana tena la kishujaa. That is "You face the bull by its horns".
 
Back
Top Bottom