Pius J. Kiwarya Lema
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 1,097
- 566
ccm ni janga na zigo la umasikini kwa watanzania.Kushinda uchaguzi ni fedha asikudanganye MTU
Jana imebainika kwamba
wajumbe /mabalozi Na Makatibu
wa Ccm wakati wa kampeni
wanalipwa posho ya sh 40000 kila mmoja
Baadhi yao kutoka wilaya
ya Babati wamejitokeza Mbele ya Star tv
jana jumamosi wakidai walipunjwa Na
kupewa kati ya 20000/10000 kwa mjini wakati vijijini walipewa 40'000
Wanahoji kwa nini ccm wanawabagua kwa kutoa viwango tofauti ??
Mjumbe wa NEC aitwaye Sumaye ametumwa Dodoma kufuatilia !
Nionavyo Mimi Tafakari: Mnaosema Fulani hakuwa Rais kwa nguvu ya pesa ?????
Kwa hali hii unawezaje kushinda
uchaguzi wakati hauna fweedhaa ?
Chanzo :star TV Habari
Hapa Mbwembwe tu !!
hakuna siri kuwa hyo uliemtaja ndie alieshinda ila kutokana na siasa chafu la chama lenu ndio mkapindua matokeo.Mbona mamviii katumia hela nyingi na kaukosa pia
Tutayajuwa mengi yaliyo chini ya uvungu maana walio polwa ushindi ni nguvu ya munguKushinda uchaguzi ni fedha asikudanganye MTU
Jana imebainika kwamba
wajumbe /mabalozi Na Makatibu
wa Ccm wakati wa kampeni
wanalipwa posho ya sh 40000 kila mmoja
Baadhi yao kutoka wilaya
ya Babati wamejitokeza Mbele ya Star tv
jana jumamosi wakidai walipunjwa Na
kupewa kati ya 20000/10000 kwa mjini wakati vijijini walipewa 40'000
Wanahoji kwa nini ccm wanawabagua kwa kutoa viwango tofauti ??
Mjumbe wa NEC aitwaye Sumaye ametumwa Dodoma kufuatilia !
Nionavyo Mimi Tafakari: Mnaosema Fulani hakuwa Rais kwa nguvu ya pesa ?????
Kwa hali hii unawezaje kushinda
uchaguzi wakati hauna fweedhaa ?
Chanzo :star TV Habari
Hapa Mbwembwe tu !!
Nyie watu wabaya sana mmewapoteza mzee sitta,na wasira kwa kuwatowa kafara ya uchaguziMamvi yeye alijua pesa ni kila kitu ndio maana ameinvest vya kutosha ili apate uraisi ,kwa kuchangiwa na MABEPARI ili waje kusamehewa kodi ndio hivyo tena kapotea
Msisahau kumpatia uenyekiti wa pac wakala wenuMamvi yeye alijua pesa ni kila kitu ndio maana ameinvest vya kutosha ili apate uraisi ,kwa kuchangiwa na MABEPARI ili waje kusamehewa kodi ndio hivyo tena kapotea
Jipange upya uilete hii habari vizuri.Kushinda uchaguzi ni fedha asikudanganye MTU
Jana imebainika kwamba
wajumbe /mabalozi Na Makatibu
wa Ccm wakati wa kampeni
wanalipwa posho ya sh 40000 kila mmoja
Baadhi yao kutoka wilaya
ya Babati wamejitokeza Mbele ya Star tv
jana jumamosi wakidai walipunjwa Na
kupewa kati ya 20000/10000 kwa mjini wakati vijijini walipewa 40'000
Wanahoji kwa nini ccm wanawabagua kwa kutoa viwango tofauti ??
Mjumbe wa NEC aitwaye Sumaye ametumwa Dodoma kufuatilia !
Nionavyo Mimi Tafakari: Mnaosema Fulani hakuwa Rais kwa nguvu ya pesa ?????
Kwa hali hii unawezaje kushinda
uchaguzi wakati hauna fweedhaa ?
Chanzo :star TV Habari
Hapa Mbwembwe tu !!
Kila siku mnapinduliwa nyinyi tu hamstuki? Au mnaona raha kupinduliwa?hakuna siri kuwa hyo uliemtaja ndie alieshinda ila kutokana na siasa chafu la chama lenu ndio mkapindua matokeo.
mhmmm tobaaaa...!?Ki
Kila siku mnapinduliwa nyinyi tu hamstuki? Au mnaona raha kupinduliwa?