Je nitashika ujauzito kweli?

 
Utapata vizuri tena naona umelenga kwenye mtoto wa kiume kama Mungu akikujalia.

Lakini na wewe dada una umri gani mpaka usijue siku gani za wewe kuna chances kubwa ya kushika mimba
Siku ya 10 sio mtoto wa kiume labda siku ya 13/14
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…