Wasalaam....swali langu lajieleza, nina simu ya Azumi (ya kampuni moja ya simu) inayotumia laini ya mtandao mmoja tu sasa nataka kutumia mitandao yote je naweza kuibadirisha kwa kui-root au ntatumia njia gani kuflash
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.