Je ni wapi wana print business cards??

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,542
34,935
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Je ni sehemu gani naeza pata mtu wa kuni printia business cards au tshirts nilizo design!!? Je gharama ni shilingi ngapi kwa pc 50 na zaidi??
 
Gharama zao unazikumbuka? Please ukipata naomba nichekie mkuu
Kampuni yetu inawatumia wao kuprint chochote tunachotaka... So nikikupa number utawauliza gharama zao kwa hicho unachotoka...

Sisi tunawapaga order kubwa sana...
 
Kampuni yetu inawatumia wao kuprint chochote tunachotaka... So nikikupa number utawauliza gharama zao kwa hicho unachotoka...

Sisi tunawapaga order kubwa sana...
Ntashukuru sana boss....wapo maeneo gani? Dsm sehem gan??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…