thebusdriverclassc
Senior Member
- Jan 16, 2014
- 146
- 66
So, alichepuka?Nilifungua ukurasa mimi wadau...
Hiyo ni picha kama huelewi.... Kwanzaa bikira uliyotoa ni natural au artificial za siku hizi siunajua nasie wajanja eeh.....ila kiukweli Utakua unamegewa tuHuku kufuatilia profile pic za jamaa Whatsap ndo kunanishangaza afu kubadili jina analokuwa amemsave nalo kila wakati...